Kwa nini uswizi wanataka majina na wao wana ushahidi wote?

gagonza

JF-Expert Member
Oct 18, 2009
309
98
nimesikia baadhi ya viongozi wanasema wapelekewe majina ya watu wenye pesa nje,eti serikali ya uswizi inataka majina ili ifanye uchunguzi,majina gaini wanayata ambayo wao hawana? watu wamefungua acount huko huko leo unasema una taka majina ina maana hao watu walifungua acount bila majina?
 
nimesikia baadhi ya viongozi wanasema wapelekewe majina ya watu wenye pesa nje,eti serikali ya uswizi inataka majina ili ifanye uchunguzi,majina gaini wanayata ambayo wao hawana? watu wamefungua acount huko huko leo unasema una taka majina ina maana hao watu walifungua acount bila majina?

Ni procedure ya kawaida kuwa watataka majina. Every credible bank in the world will do that. It's not in the bank's interest to give you names of their clients. Kwa nini hii inakuwa ngumu kwa watu kuelewa? Hebu niambie kuna sababu gani kwa benki yeyote kuachia majina ya wateja na kuji-expose against lawsuits? Lazima waTanzania waelewe kuwa banks ni private entities, tofauti na central bank ambayo ilitoa info hii hii kuhusu waTanzania kuwa na account kule Switzerland. Central Bank is a public institution. The banks are not required by ANY law to release info about their clients. Actually it's the opposite. The contract between any bank and you the client stipulates that your dealings are private and can not be released to the public without proper authorization. In short, the government of Tanzania MUST request these banks to release this info na kama serikali yenyewe ndiyo hiyo imeshaanza kusuasua the only hope now is for Zitto to stand his ground and persuade the Parliament to force the Government of Tanzania to request this info. This is the fact. Kama ikishindikana hiyo then wananchi wajue wanamchagua nani watakavyopiga kura in 2015. Bunge tu ndilo litakaloweza kuturudishia hela yetu. Serikali ya CCM haina interest au nia ya kuirusdisha hiyo hela kwa sababu imewekwa huko na wao wao.
 
Jamani kweli hakuna mtu ambaye ana CD au ana uhakika na hiyo orodha ya mafisadi awatoe humu kama yule mwandishi wa habari wa Ugiriki?mbona wa Tanzania ni watu wa porojo,kama Zito anasema anawajua si amwage hadharani au ampe hata mtu yoyote amwage hadharani.
 
Huu umekuwa mchezo wa kuigiza sasa. Kama Swiss embassy wamesema hivyo sasa huyu Zitto anasubiri nini? Ama hana hayo majina?
 
kwasababu mwisho wa siku hizo account wanazifreeze na fedha yote inabaki mali ya uswisi...
 
Back
Top Bottom