Kwa nini USA ina matatizo ya Third World Countries?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Hili jambo sijawahi kulielewa, haya leo Polisi 4 wamepigwa risasi huko Texas, haya ni matatizo ya third World ambako raia wanakuwa anamuona Polisi kama adui lkn kwa nchi zilizoendelea na kustaarabika Polisi ni rafiki wa raia ...

Nafikiri civil war imekaribia USA, Wazungu hawawezi kukubali kuishi kwenye nchi ya namna hiyo, tegeni masikio mtaona, msisahu kwamba Katiba ya USA inaruhusu Majimbo kujitenga ni swala la kupiga kura tu wengi wakikubali Jimbo linajiondoa na USA, ukichukulia sasa hivi USA kupitia NAFTA wanataka kuungana na Kana na Mexiko wanaita North American Union na hapo ndipo vita itakapoanzia!


Raia wa USA akipigwa risasi na Polisi!
3,w=985,c=0.bild.jpg



Cm0KDdzUcAISmrr.jpg:large

Cm0Wf2TVMAA9s8F.jpg

Huyo ni raia yuko Mtaani USA, kuna tofauti gani na Goma, Kongo!
2,w=559,c=0.bild.jpg



Aliyempiga Polisi Risasi!
Cm0K-rTVIAE9UXK.jpg
 
Mda umefika sasa, na hili halina mjadala lazima visasi na mauaji ya kuviziana yatapamba moto huko marekani
 
Baada ya kina king na wapambania haki wangine kufa walipumzika na kudhani all is well wakati ilikuwa bado
 
Na jinsi silaha zilivyo nyingi kwa raia + wengi wana pesa + wengi wameelimika + uhuru wa habari + miundo mbinu ilivyomizuri/ndege/reli/meli/magari = Naona kuna bonge la balaa linakuja.
 
Ubaguzi tuu hakuna kingine ila na gap ya walionacho na wasio nacho naona kama inaongezeka kwa kasi,one time nilipita East st Louis nilichoona kule bora Manzese inabidi usali utoke salama na bidhaa kubwa kule ni madawa,guns na uchi
 
Ubaguzi tuu hakuna kingine ila na gap ya walionacho na wasio nacho naona kama inaongezeka kwa kasi,one time nilipita East st Louis nilichoona kule bora Manzese inabidi usali utoke salama na bidhaa kubwa kule ni madawa,guns na uchi

Bora wangekutandika shaba tu maana huna faida yoyote hapa duniani zaidi ya kuchuma machungwa huko Racho Cucamonga.
 
Back
Top Bottom