Kwa nini unaichukia/unaipenda Israel: Sababu zangu sita

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Siipendi nchi ya Israel kwa sababu eti iliwahi kutabiliwa au inakaupendeleo kidogo kuliko wanadamu wengine wa mataifa mengine hapana.

bila kujali ni kweli au sio kweli, naipenda israel kwa sababu ...

1:inajua kujisimamia na kutatua matatizo yake...
2:Haina maneno mengi ila kila tatizo inalolikabiri inajibu kwa vitendo.
3:Waisrael wamewekeza kwenye matokeo ya mwisho. Wako tayari kwa gharama yoyote ila kile walichopanga kifanikiwe.
4: Hawawezi kuhairisha mipango yao kwa sababu mtu flani au taifa flani haipendi au haimfurahishi.
5:Ukiwahujumu, wanauwezo wa kutumia matajiri wao, kununua hata kampuni yako au media house yako na kuineutralize moja kwa moja au kinyume nyume.

vipi wewe, kwa nini huipendi au unaipenda israel?
 
dah jamaa wamesurvive mengi sana mpk kufikia hapo walipo leo nawakubali mno...wapalestine nao wajifunze kusurvive haijalish mazngira magumu kiasi gan iko cku watapata taifa lao ht kama kipnd hko watakua wamebakia na eneo dg km kijiji.
 
Siipendi nchi ya Israel kwa sababu eti iliwahi kutabiliwa au inakaupendeleo kidogo kuliko wanadamu wengine wa mataifa mengine hapana.

bila kujali ni kweli au sio kweli, naipenda israel kwa sababu ...

1:inajua kujisimamia na kutatua matatizo yake...
2:Haina maneno mengi ila kila tatizo inalolikabiri inajibu kwa vitendo.
3:Waisrael wamewekeza kwenye matokeo ya mwisho. Wako tayari kwa gharama yoyote ila kile walichopanga kifanikiwe.
4: Hawawezi kuhairisha mipango yao kwa sababu mtu flani au taifa flani haipendi au haimfurahishi.
5:Ukiwahujumu, wanauwezo wa kutumia matajiri wao, kununua hata kampuni yako au media house yako na kuineutralize moja kwa moja au kinyume nyume.

vipi wewe, kwa nini huipendi au unaipenda israel?
nakuunga mkono harafu hawataki fyoko fyoko
 
Mungu yupi awabariki Israel? Wakati walimuua mungu wenu YESU?
angeamua asingekufa, lkn ilibidi afe ili Mimi na wewe tupate uzima, uzima tele...
hakuna aliyemuua yesu, ila yesu aliteswa na kunyanyaswa vibaya na kipigo kikali, lilipokuja suala la kufa alisema "mikononi mwako mbwana, naiweka roho yangu" hakuuwawa bali aliutoa uzima wake..
 
Siwapendi sababu Taifa lake wanaongoza ushoga.

Siwapendi sababu hata Musa na Yesu hawakuwapenda.

Siwapendi sababu Mungu alisha walani.

Siwapendi wanajidai wao ni Taifa la Mungu na bila Marekani hawana kitu.

Siwapendi sababu wanaogopa hata kijiwe wakati wana bunduki mkononi. Yani ni watu wajinga sana.
 
angeamua asingekufa, lkn ilibidi afe ili Mimi na wewe tupate uzima, uzima tele...
hakuna aliyemuua yesu, ila yesu aliteswa na kunyanyaswa vibaya na kipigo kikali, lilipokuja suala la kufa alisema "mikononi mwako mbwana, naiweka roho yangu" hakuuwawa bali aliutoa uzima wake..
SASA KAMA ALITAKIWA KUFA KWA AJILI YETU. MBONA WALIPOMTUNDIKA MSALABANI. ALIANZA KULALAMIKA KUWA MUNGU KAMUACHA?
3caa32eeed6fbc76cb738343937f95b2.jpg
 
hizi ndio sababu za kiwachukia au kuwapenda waisrael.
naogopa kukujibu maana ntakuwa najadili yaliyoko kichwani mwako sio kwenye mada.
jibu nililokupa pale juu ndio ilikuwa mwisho. kama kuna sehemu mnajadili hayo unayoyaleta nialike nitatoa maoni yangu.
 
Najua nimekuonea kwa swali maana hata mchungaji wako. Au Padre wako. Na hata papa Francis. Wote wakusanyike hawawezi kujibu.
 
Back
Top Bottom