- Thread starter
- #41
Duuuuh!!Kwasababu ulipopata pesa ulikua unadharau sana nakujiona unamchango mkubwa kuliko wengine, na ukasahau kua maisha ubadilika leo waweza kua chini kesho juu.
sasa hapo kwanini wasikudharau
Duuuuh!!Kwasababu ulipopata pesa ulikua unadharau sana nakujiona unamchango mkubwa kuliko wengine, na ukasahau kua maisha ubadilika leo waweza kua chini kesho juu.
sasa hapo kwanini wasikudharau
Inategemea umefanya Nini mpaka wamekudharau. Kuna mtu unakuta Ana nguvu kabisa lakini kazi hataki yaani hafanyi juhudi za kupata kazi Apo ata Mimi ningekudharau maana unakua mzigo kwa wenzio na familia. Au unakuta ata kazi za nyumbani mtu hasaidii.Wakuu Kama kichwa cha Uzi kinavyosomeka hapo juu
Hivi Ni kwa nini mtu ukiwa huna pesa ,yaani ninamaanisha ukiwa na maisha duni unadharaulika?
Na hili utaliona kuanzia ngazi ya familia,jamii inayokuzunguka na muda mwingine hata kwenye nyumba za ibada
Ni kwa nini mtu Kama huna kitu watu wanashindwa kuthamini hata utu wako?
Ukubaliane na Hali halisi kwamba huna pesa au? yani ukiwa huna pesa hata wewe mwenyewe unajidharau husubiri hata kudharauliwa na wengine, yani hata maombi ya mtu maskini anaomba kwa kumlalamikia mungu, maskini Hana maombi ya shukrani , yan hata afyaanaona haitoshi anamlaumu kwa nn yeye ana maisha duni, ,