jeviounipers
Member
- Jan 5, 2011
- 68
- 26
du...................................................................................................................!
Mkuu hili ni jukwaa la siasa..... hii habari hamishia jukwaa linalohusika....Habarini za wakati huu wandugu wenzangu, wake kwa waume (especially wanaume). Naamini wengi wenu kama ilivyo kwangu ni watumiaji wa kilevi japo tunatofautiana viwango, wengine na ahmada sana , wengine wastani na wengine hawatumii kabisa.
Sasa naomba msaada hapa wa kisaikolojia with connection to alcohol, mimi na baadhi ya watumiaji wa alchohol japo sio wote huwa kuna katabia ka kumuona MWANAMKE amekuwa MZURI kupita kawaida pindi alcohol inapoanza kuchanganya, lakini few minutes ago inawezekana ulikua ukimponda kuwa ni MBAYA kimoyomoyo au hadharani, lakini ile kitu (keroro) ikianza kuchanganya basi na yeye anabadilika. Mara macho waona mazuri, mara hips....nk
Je kitaalam hii ni tabia ya mtu mwenyewe au ni vimbwanga vya alcohol, na je ki taalam inatokana na nini haswa, logically?
Vivian njoo nikupe busu mwanana.....chagua unataka la wapi.....la huku au kule au hapa chini au bapa niliposhika?......hahabahaaaThe more you drink the more stupid you become! Ila wanawake wote ni wazuri tu jamani. Sorry The thread was meant for men
Vivian njoo nikupe busu mwanana.....chagua unataka la wapi.....la huku au kule au hapa chini au bapa niliposhika?......hahabahaaa
ni nini?Kuchanganya mambo (forums) ni dalili za watu kukata tamaa. Hii ingefaa zaidi MMU.
Habarini za wakati huu wandugu wenzangu, wake kwa waume (especially wanaume). Naamini wengi wenu kama ilivyo kwangu ni watumiaji wa kilevi japo tunatofautiana viwango, wengine na ahmada sana , wengine wastani na wengine hawatumii kabisa.
Sasa naomba msaada hapa wa kisaikolojia with connection to alcohol, mimi na baadhi ya watumiaji wa alchohol japo sio wote huwa kuna katabia ka kumuona MWANAMKE amekuwa MZURI kupita kawaida pindi alcohol inapoanza kuchanganya, lakini few minutes ago inawezekana ulikua ukimponda kuwa ni MBAYA kimoyomoyo au hadharani, lakini ile kitu (keroro) ikianza kuchanganya basi na yeye anabadilika. Mara macho waona mazuri, mara hips....nk
Je kitaalam hii ni tabia ya mtu mwenyewe au ni vimbwanga vya alcohol, na je ki taalam inatokana na nini haswa, logically?
Mkuu, unataka tumjadili mlevi? Hivi anastahili kujadiliwa kweli?
Vivian njoo nikupe busu mwanana.....chagua unataka la wapi.....la huku au kule au hapa chini au bapa niliposhika?......hahabahaaa