Hata mimi sijaona ndoa ambayo haijapitia uchumba, unajua watu hatuelewi maana halisi ya uchumba...Uchumba ni maisha ambayo yanawakutanisha wawili kuweza kufahamiana kitabia,mila,desturi na familia ya kila mmoja wao kati yao ndio hupelekea mmoja wapo kuridhia na kupeleka posa..Lakini uchumba wa siku hizi ni uasherati mtupu!!!!