donydomy Member Jul 19, 2016 8 3 Jul 19, 2016 #1 Tz huwa tunapita mkono wa kushoto au upande wa kushoto sababu haswa huwa ni nini?
City Owl JF-Expert Member Mar 21, 2014 2,553 4,843 Jul 19, 2016 #2 Steering wheels za magari ziko kulia..
N Nyakawaga Member Jun 20, 2012 70 13 Jul 19, 2016 #3 kwanini wengine nao wana keep right kama jibu unalo basi hata swali ulilouliza jibu utakuwa nalo
Victoire JF-Expert Member Jul 4, 2008 24,133 56,576 Jul 19, 2016 #4 mnafuata mfumo wa uk,wakati ulaya zingine usukani upo kushoto