Kwa nini TV stations hazitaji muda?

Kwa sababu hata wewe una access ya kujua muda kupitia remote yake.
Siku hizi hata radio nyingi hawataji muda kama rtd zamani.

Kibaya zaidi siku hizi watangazaji hata kuaga hawaagi, utafikiri wanataka kuwafumania wake zao waliowaacha nyumbani.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom