Kwa nini tuwanunulie mafuta IPTL? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini tuwanunulie mafuta IPTL?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CAMARADERIE, Jul 14, 2011.

 1. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Mimi hili haliningii akilini kwa nini serikali iwanunulie mafuta IPTL? Naomba kuelimishwa....halafu kuna tetesi kuwa pesa za mafuta 61bn zimetafunwa kwa kupitia RITA na Waziri wetu wa gizani anahusishwa.
   
 2. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,071
  Trophy Points: 280
  nami pia sielewi japo awali niliona 'aibu' kuuliza, lakini nimesikia jamaa wengine wanasema eti ndiyo unaitwa UFISADI na upungufu wa matumizi ya akili tulizojaliwa bure na Mwenyezi Mungu!
   
 3. k

  kiloni JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  CCM kuleni! kuleni kuleni kwa moyo mmoja nambari wani ni wenyewe.
  Watz mazuzu CCM kuleni kwa moyo mmoja nambari wani ni wenyewe
  Kuleni tu jamani kuleni kwa moyo mmoja nambari wani ee nambari wani ni CCM
  mnaongoza mataahira kuleni kwa moyo mmoja nambari wani ni wenyewe!!!!!!!

  NINAOMBA KWANZA NIKALILIE KULE CHOONI>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
   
 4. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  wimbo nimeupenda. usiendelee kulia kwani mwisho utatoa damu.
  Aise ni kweli kwanini tuwanunulie na wakati ni wawekezaji? na wanalipwa? ngereja jibu hapa
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Wao wanawauzia TANESCO unit moja kwa $0.32 halafu TANESCO inatuuzia sisi kwa $0.08.......halafu kuna ile capacity charge....sasa kwa nini tena tunanunua mafuta kwa hela ya serikali?
   
 6. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2,710
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  Kwa sababu wameshindwa kujiendesha na mkataba umesema usivuinje ukivunja utalipa trilliions au wakati wa malipo tunakata pesa yetu na faida tunagawana au tunanunua hisa sa IPTL siku moja itakuwa ya serikali na ili umeme usikatike masaki halafu ili kutoa justification ya kutoa pesa. Mkitaka tukae miezi saba bila umeme halafu pesa zote za dharura tujengee bomba la gesi toka Mtwara na nyingine tununue his Songas halafu meneja alipwe kulingana naFida. .01% of the total profit if loss OUT.
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,389
  Trophy Points: 280
  ukitaka kujua sababu.. muulize rostam kwa nini alimuweka ngeleja nishati na madini..
   
 8. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  kuleni tu navyo ni vijisent hati! Naishiwa nguvu kabisa, tumerogwa na nani? bado ya symbion sasa Mungu eeeeee Twafa Watzed tuokoe Jamani Mifisadi imetulemea
   
 9. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi wanasheria wa tanzania siwaelewi kabisa huwa wanawaongoza vipi hawa mawaziri katika kusign hii mikataba, mafuta mazito wanayotumia iptl yanayoisha sasa pia ngeleja alisema serikali imetoa hiyo fedha.
   
 10. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mkataba wa TANESCO na IPTL na mikataba yote ya umeme kwenye makampuni binasfi, ni kwamba TANESCO wata-supply mafuta au gas kwa gharama za TANESCO, na pia mitambo ikiharibika ni wajibu wa TANESCO kununua spare.
   
 11. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Eti nini?! Tanesco inagharimia matengenezo?! Umeniharibia na hoja yangu kabisa, maana nilitaka kutoa wito kwa yeyote wa UWT mwenye moyo wa uzalendo atusaidie kwa kuilipua mitambo ile!! Ili tujue moja.
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Iyo mikataba serikali ndo inaumia ila watu binafsi wananeemeka kwa kwenda mbele,kuna watu kuingiza billioni kama 10% ni kitu cha kawaida bongo kwa sasa ndo maana hutetea huo ufukunyuku mpaka mapovu huwatoka iwe bungeni,iwe kwenye kamati au iwe kwenye baraza la mawazili
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,568
  Trophy Points: 280
  Duh! Hii ni mikataba ya kifisadi kabisa na si ajabu wale Symbion nao wamesaini mkataba kama huu. Kweli nchi yetu ni kichwa cha mwendawazimu. Jamaa wanapeta hawana hata operation costs na wanalipwa pesa chungu nzima!!!
   
 14. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Bado sijaelewa kwa nini tunalipa haya mafuta mazito? Hivi ukikodi taxi unanunua mafuta halafu unalipa fare?
   
 15. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Tanzania kuliwa na wajajajaja CCM, tuwatose tuwape hata TLP , maana naona hamuwataki chadema
   
Loading...