Kwa nini tusianzishe sheria inayozuia vyama vya siasa kumiliki vyombo vya habari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini tusianzishe sheria inayozuia vyama vya siasa kumiliki vyombo vya habari?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dumelambegu, May 11, 2011.

 1. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wandugu,

  Hakuna habari zinazonikera kama zinazoandikwa kwenye gazeti la UHURU. Sijui kama kuna waandishi wa habari katika nchi hii ambao ni watumwa kama wa gazeti hili. Mimi naona angalau hata Tanzania Daima kuna wakati wanaandika habari ya kuikosoa Chadema kwa mambo fulanifulani lakini siyo UHURU. Wao kila habari inayoandikwa ni kuunga mkono ccm. Wao ni habari za kipropaganda kila siku. Hivi kwa nini isianzishwe sheria ya kuzuia vyama vya siasa kumiliki magazeti na vyombo vingine vya habari ili kuondoa uwezekano wa wananchi kuaminishwa habari za kipropaganda?
   
 2. fikramakini

  fikramakini JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi kumbe gazeti la Uhuru bado lipo?
   
 3. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Hakuna haja ya kutunga sheria hiyo..........nani kwanza anasoma UHURU siku hizi?
   
 4. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kinachotakiwa ni kuwepo utaratibu wa kuzuia chama tawala (CCM) kutumia vyombo vya habari vya umma kwa kujipendelea na propaganda!! Kwa sababu vyombo hivyo vinaendeshwa kwa kodi za walipakodi wote, wa itikadi zote za kisiasa! CCM imehodhi kabisa vyombo vya habari vya umma na kuvitumia kama vyao binafsi! @*$#>&?!
   
Loading...