Kwa nini tunavaa condom?

1. Lengo LA kuvaa condom machoni, ni ili kujinginga na upepo mkali na kuzuilia vumbi lisiingie Machoni lakini pia hutumika kupunguza Mwanga wa jua.
2. Unatakiwa kuvaa pale unapoona umekutana ns MTU unamsalimia halafu haitikii utadhani hajakuona.
 
Swadakta kabisa mkuu betlehem
Naskia pia badala ya Noah ya makinikia sahivi tunaletewa condom kila mtu drum mbili za ndom
Furaha iliyojeeee
 
1. Lengo LA kuvaa condom machoni, ni ili kujinginga na upepo mkali na kuzuilia vumbi lisiingie Machoni lakini pia hutumika kupunguza Mwanga wa jua.
2. Unatakiwa kuvaa pale unapoona umekutana ns MTU unamsalimia halafu haitikii utadhani hajakuona.
nimeipenda hiiii hahahahaatar weka mbali aiach mtuuu
 
Wanajamvi,
Kama heading inavyojieleza, Kwa nini tunavaa condom wakati wa tendo?au ni mtu wa namna gani unatakiwa kufanya nae tendo kwa condom?
Kujikinga na magonjwa ya zinaa.
Kuzuia mimba.

Hivi huko shuleni hamfundishwa?
 
Ukivaa condom ukapiga na mkanda mweusi halafu chini kiatu safi cheusi daaaahh

[HASHTAG]#kondomu[/HASHTAG] ina maana unajamiiana na mtu usiepaswa kufanya naye ama kama na mkeo ni tarehe usizopaswa kumjamii

Ni makosa na ni DHAMBI.

Tembelea ringi tu mkuu
 
Kuvumbuliwa kwa mipira ya kiume au ya kike ilikuwa kwa ajili ya kudhibiti uzazi usio na mpangilio. Kwa siku hizi kutokana na maambukizi makubwa ya magonjwa ya ngono yanayopelekea vifo vingi, sababu ya msingi imeongezewa na nyingine ya kuzuia maambukizi ya hayo magonjwa.
 
Back
Top Bottom