Kwa nini tunamtaka Dr. Slaa- tujikumbushe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini tunamtaka Dr. Slaa- tujikumbushe

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by guta, Oct 22, 2010.

 1. g

  guta Senior Member

  #1
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tujikumbushe siku za nyuma wakati Kikwete alitakiwa kuchuka maamuzi magumu na hakuchukua.
  Re: Epa na mambo yake  JK: "Watanzania eh"

  WTZ: "Eh"

  JK: "Mimi Rais wenu!"

  WTZ: "eh!"

  JK: "Sina nguvu tena!"

  WTZ: "Eh"

  JK: "Ya kukamata mafisadi"

  WTZ: "Eh"

  JK: "Mafisadi ni wajanja"

  WTZ: "Eh"

  JK: "Wamekomba Benki Kuu"

  WTZ. "Eh" kwa shauku!

  JK: "Wamelangua na Rada"

  WTZ. "Eh" kwa shauku!

  JK: "Wameiba Meremeta"

  WTZ. "Eh" kwa shauku!

  JK: "Wamechota nayo EPA"

  WTZ. "Eh" kwa shauku!

  JK: "Sasa kimbieni!

  Watanzania kila mmoja anaanza kutimka kivyake na mwenye kuweza kufanya ufisadi zaidi anaendelea kufanya tu kwani rais keshashindwa; na kupelekea ufisadi kuendelea kukomaa siku hadi siku. Hivyo ndivyo anvyoonekana Rais Kikwete.
   
 2. tempo_user1

  tempo_user1 Senior Member

  #2
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo kali
   
Loading...