Kwa nini tunaendelea kuomba chakula kutoka nje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini tunaendelea kuomba chakula kutoka nje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SMU, May 20, 2010.

 1. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Nimesikia kwenye taarifa ya habari ya TBC1 ya saa mbili usiku, ati Tanzania imesaini makubaliano ya kupatiwa msaada wa mchele kutoka Japan.

  Balozi wa Japan (ambaye alitia saini kwa niaba ya nchi yake) alipoulizwa na waandishi kwa nini Japani isitoe pesa kuendeleza kilimo cha mpuga hata Tz, alijibu "wanatoa msaada kutokana na mahitaji(nadhani akimaanisha ni Tz ndio tulioomba!)".

  Nimebaki najiuliza tu kwa nni tuanomba chakula kutoka nje? Nadhani hata Mungu anatulaani kwa kushindwa kuzitumia vema resources alizotujalia.

  Hivi sisi watanzania tuna matatizo gani hata kuendelea kuomba chakula? Nilidhani sisi tunapaswa kufikia mahala tutoe msaada wa chakula kwa nchi nyingine. Au ndio matunda ya safari za nje za mkuu wa kaya?
   
 2. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mitanzania haisarifiki
   
 3. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Ingeliwezekana matonya kulielewa tatizo lake ingekuwa mwanzo wake wa kujirekebisha. Tz hatulioni hilo kuwa tatizo, bali tunamhusudu kiongozi alie mtaalamu wa kutembeza bakuli. Jk anakata mitaa ya ughaibuni kuomba msaada ila hatataka kuitwa mlemavu. Kazi kweli!
   
 4. K

  Kilian Senior Member

  #4
  May 21, 2010
  Joined: Apr 26, 2009
  Messages: 147
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Halafu Tunamchagua tena October. Hivi tunalaana gani?.....
   
Loading...