Hivi kama vyama vilikuwa na helkopta zinatua kila mahali walipotaka kufanya campaign kwa nini NEC washindwe kufuata hayo matokeo kwa njia hiyo hiyo?
kwan dr slaa yupo wapi kutangaza naye yake?,ebwana kama noma na iwe noma hawa magamba wamezid ushenzi. Mi napatwa na hasira jaman CCM wanavyo2fanyia watz
naona bado unaota!chadema wameshinda nec wako bize kuchakachua
WADau kuna mtu kanijuza kuwa kuna vurugu IguNGA, je ni kweli?
unauhakika?? inamaana wameanza kuona dalili za kushindwa na wameanza kuchakachua matokeo! Mavi yao na km hali ndio hy br mapanga yatembee
kuna mambo mengi sana yamejificha nyuma.....ccm wanalazimisha kuna matokea ya kata 3 ccm wameshindwa lakini kina mwigulu wakaja na matokeo yao kuwa wamshinda katika kazi hizo.....
Wameshinda njaa au?chadema wameshinda nec wako bize kuchakachua
naona bado unaota!
ok haya basi... CDM mmeshinda!we unadhan magamba wangeshnda wasingejitangaza mpaka sasa?
Wewe ulitaka wafanya fujo wapewe pipi? Rais anaekuja atakuwa wa CCM, kwahiyo toa upupu wakoNdugu yangu kama haki ikicheleweshwa vurugu lazima! wasiwasi wangu naiona damu ikimwagika kwa mara nyingi tena Raisi yeyote ajaye katika nchi hii lazima amshitaki kikwete ni mwizi tena muuaji kabisa.