kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 1,996
- 5,045
Hello bosses,
Niko hapa na-code huku naangalia Azamtv, kiukweli wana graphics kali sana. Sasa nikawa najiuliza hivi hio speed ya transmission inachezea kwenye mb/s ngapi kwa sababu nikisema niangalie video yenye quality hio kwa kutumia intaneti kwanza inabidi niwe na bando la kutosha na pia niwe sehemu ambapo kuna 4g ili video isikwame kwame.
Nikafikiria tena kwa nini hiohio technology isitumike kusambaza huduma ya intaneti? Mie sio mtaalamu wa issue za ving'amuzi na madish lkn kwa ku-analyze kwa juujuu naona kama vile inawezekana, sijui ni nini kinakwamisha hilo?
Kama ukisema gharama ndio inakwamisha sidhani kama ni kweli coz bundle mfano la azam halizidi 20K kwa mwezi?
Anyway kiufupi ni nini kinakwamisha hilo?
CHIEF MKWAWA dronedrake Mshana Jr