Kwa nini Tanzania isigawanywe kimajimbo/States?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,384
58,161
HAWA WANATAKA NINI KAMA SIO TUWE NA STATES?
attachment.php
 

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
15,114
26,881
Mtakatifu Ivuga ni muhimu sana hii nchi igawanywe ili kuondokana na wanafiki kama hawa CCM. Wanahubiri umoja kumbe mioyo yao imejaa ghiliba kama za hao watumwa walioshika hilo bango. Tukigawanywa kimajimbo itasaidia sana kuondokana na upumbavu mwingi uliojaa vichwani mwa wanaofikiri kwa masaburi kama ccm & co.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom