Kwa nini TANESCO wananunua gas ya songosongo bei kubwa kuliko dowans na wengine?

Phillemon Mikael

Platinum Member
Nov 5, 2006
10,518
8,583
Nimepata taarifa kuwa shirika la umeme tanesco wananunua gas ya kuzalisha umeme kutoka mnazi bay ..kwa bei kubwa kuliko wanazonunua dowans,songas,..ets bei wanayouziwa tanesco ipo inflated by almost 20 TO 40% ...NIMEONA nisikae kimya ...inawezekana kabisa kuwa kwenye kila unit wanayonunua tanesco kuna pesa za WAJANJA ndani....kwa nini wanunue kwa bei juu zaidi ya makampuni binafsi wakati gas hii ingetakiwa isaidie kushusha gharama za umeme...

sasa naomba hili la tanesco kununua gas kwa inflated price tulifanyie kazi wote...

naomba kuwasilisha...
 
...kama ni kweli basi ni ufisadi baada ya ufisadi...sijui tutaponea wapi,na sitashangaa wakija na political AKAtechnical reasons chungu nzima to justify huo ufisadi kumbe ni kula cha juu
 
Itasaidia pia kama utaziweka hapa hizo bei wanazotozwa Tanesco na hao wengine kama unazo ili tuweze kuzilinganisha.
Kama huna, basi mwenye uwezo wa kutupatia hizo bei atuwekee hapa, tafadhari.
Lakini nakumbuka mkataba wa Richmond/baadae Dowans,uliowekwa hapa JF, Tanesco ndio walikuwa na jukumu la ku-supply gas?
 
...ndio maana nikasema tusaidiane wote kuchunguza ikiwemo THIS DAY ...taarifa ni za ukakika well placed person ...but tatizo ni kuupata huo mkataba wa tanesco na hao mnazi bay...agaist mnazi bay [pan....] na wateja wao wengine....

waandishi wa uchunguzi deal hiyooo...
 
Nimepata taarifa kuwa shirika la umeme tanesco wananunua gas ya kuzalisha umeme kutoka mnazi bay ..kwa bei kubwa kuliko wanazonunua dowans,songas,..ets bei wanayouziwa tanesco ipo inflated by almost 20 TO 40% ...NIMEONA nisikae kimya ...inawezekana kabisa kuwa kwenye kila unit wanayonunua tanesco kuna pesa za WAJANJA ndani....kwa nini wanunue kwa bei juu zaidi ya makampuni binafsi wakati gas hii ingetakiwa isaidie kushusha gharama za umeme...

sasa naomba hili la tanesco kununua gas kwa inflated price tulifanyie kazi wote...

naomba kuwasilisha...

Kuna kila sababu kamati ya bunge kuchunguza mikataba yote ya Tanzania kama sheria hakuna Bunge litunge hiyo sheria mpya as soon as possible kwa sababu hatuwezi kuendelea kupoteza rasilimali zetu kwa hivi vikampuni uchwara ambavyo vimezagaa kila pembe ya nchi.
 
Kwa nini nchi za kiarabu wana petrol lakn sijawahi ckia wanauziwa diesel kwa bei juu kwa mfani nchi km yemen inatoa mafuta na asilimia kubwa wanatumia magenereta ya diesel umeme rahisi sana. Iweje hapa tz gas inatoka hapa hapa na bado umeme majanga. Hili ni yatizo kubwa sana. Tafakari......
 
Nyinyi wabunge si wanaxhama humu jf??? Si mmeisoma hii???? Fanyieni kazi basi... We Mnyika uko wp??? Au bize na zittoooooo, dada angu Halima mbona kimyaaaaaaaa.. Wabunge wa chama changu kikongwe najua kwa hili hamliwezi....
 
Wako busy na safari za kamati nje ya nchi!!!!

Tunasalitiwa na tuliowaamini!!!!

Tanesco kwa sasa ni kama ectopic preg;pamoja na.kuhitaji mtoto lakini kutoa hii mimba ni salama zaidi!!!!!
 
Nimepata taarifa kuwa shirika la umeme tanesco wananunua gas ya kuzalisha umeme kutoka mnazi bay ..kwa bei kubwa kuliko wanazonunua dowans,songas,..ets bei wanayouziwa tanesco ipo inflated by almost 20 TO 40% ...NIMEONA nisikae kimya ...inawezekana kabisa kuwa kwenye kila unit wanayonunua tanesco kuna pesa za WAJANJA ndani....kwa nini wanunue kwa bei juu zaidi ya makampuni binafsi wakati gas hii ingetakiwa isaidie kushusha gharama za umeme...

sasa naomba hili la tanesco kununua gas kwa inflated price tulifanyie kazi wote...

naomba kuwasilisha...

Tuko busy sasa hivi na siasa za Maji taka na matukio tukimaliza tutarudi tena kukusikiliza Via Wangolala
 
Hiyo ni tanesco tu,bado mikataba ya uchimbaji madini,kutoa huduma etc.wajuvi wa sheria naomba kujuzwa mkataba kati ya taasisi ya umma na kampuni inaweza kuwa public information? Natamani tuwe na page ktk jf ambapo mikataba yote iwe uploaded hapa watanzania wenye kutaka kuipitia wawe huru.
 
Hii topic inanikumbusha wakaji jambo aka jamiiforums ikiwa moto moto. Hakukua na sides bila hoja. Ukileta vihoja watu walikua wanakupa makavu live.

Siku hizi unaleta ujinga na kuna wajinga wanakushangilia. Adui kweli muombee njaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom