Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,548
- 8,649
Nimepata taarifa kuwa shirika la umeme tanesco wananunua gas ya kuzalisha umeme kutoka mnazi bay ..kwa bei kubwa kuliko wanazonunua dowans,songas,..ets bei wanayouziwa tanesco ipo inflated by almost 20 TO 40% ...NIMEONA nisikae kimya ...inawezekana kabisa kuwa kwenye kila unit wanayonunua tanesco kuna pesa za WAJANJA ndani....kwa nini wanunue kwa bei juu zaidi ya makampuni binafsi wakati gas hii ingetakiwa isaidie kushusha gharama za umeme...
sasa naomba hili la tanesco kununua gas kwa inflated price tulifanyie kazi wote...
naomba kuwasilisha...
sasa naomba hili la tanesco kununua gas kwa inflated price tulifanyie kazi wote...
naomba kuwasilisha...