Kwanini TANESCO hawatekelezi STIEGLER'S Gorge project?

Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,113
4,741
Hakuna sehemu yoyote duniani kwenye umeme wa bei rahisi kama umeme wa Maji (Hydroelectrity). Nchini mwetu Tanzania tumepata bahati ya kuwa na vyanzo vingi vya maji na maporomoko mengi ambayo tungeweza kuyatumia kuzalisha umeme. Baadhi ya maporomoko hayo tumwyatumia, mengine bado hatujayatumia.

Katika ambayo hatujatumia ni hili bonde lijulikanalo kama STIEGLER. Bonde hili kutokana na tafiti lina uwezo wa kuzalisha 2100MW, kiwango ambacho ni kikubwa kuliko kiwango kinachozalishwa sasa kwa ujumla. Na kama ukitekelezwa, shida ya umeme itakuwa historia. Haya maporomoko yanapatikana katika mto rufiji, ndani ya hifadhi ya selous.

Swali la kujiuliza, ni miaka mingi imepita, tunaona tafiti tuu za huu mradi, lakini utekelezaji sifuri. Nini tatizo? Ni ufisadi? Hakuna kiongozi aliye na nia.? Hakuna umuhimu ama ni nini. Hebu tujisomee habari kwa kina kuhusu huu mradi ulivyokuwa.

******************

Published on Saturday, 20 July 2013 02:29

Written by DEOGRATIAS MUSHI

IN August last year, the Prime Minister, Mr Mizengo Pinda, led a team of government officials to Brazil on a working visit. The possibility for the host government to help Tanzania build a huge hydropower project at Stiegler's Gorge along Rufiji River was one of the items on the visit's agenda.

Mr Pinda held talks with political leaders and industrialists in the vibrant South American nation on several matters of mutual interest. The delegation comprised of government officials, experts and some members from the private sector.

This was a government's effort to see how the relations between Tanzania and Brazil could be strengthened for the benefit of both countries. Among the delegates were members from the Rufiji Basin Development Authority (RUBADA), the government's agency entrusted with developing Stigler's gorge to a full potential for the benefit of the country.

Stiegler's Gorge straddles River Rufiji vicinity and is within Rufiji Basin, which falls under RUBADA's jurisdiction. The visit to Brazil could go in the books of history of this nation should everything go as planned. It now seems to be the genesis and eventually completion of Stigler's Gorge power project and, therefore, a long-term solution to Tanzania's electricity woes.

It should be noted that the trip was a follow up to the earlier one by the Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Bernard Membe, in September 2010, whose entourage included RUBADA officials. In what seems to be a result of the Fourth Phase government's efforts to find a lasting solution to the power problem, a team of experts from Odebrecht Company Limited, a Brazilian firm that has shown interest to undertake the project, has already visited Tanzania twice.

On both visits, the experts on dam construction visited the gorge and other parts of Rufiji River. The Director General of RUBADA, Mr Aloyce Masanja, says that second visit was meant to collect more data on the viability of the project before signing of the Memorandum of Understanding (MoU). "This second visit is meant to further collect data on the feasibility of the project before we reach an agreement for project implementation," he said.

The first visit of the team of experts to Tanzania was meant to make an assessment of the Stiegler's Gorge Power Project and concluded that the project is a viable one, easily to implement and with the capacity to produce significant electricity.

According to Mr Masanja, the final experts' report is expected to come out before the end of this year while the MoU between the company and RUBADA on behalf of the government of Tanzania is expected to be signed before next January 15. It is expected that the design job will take not more than a year.

A Senior Consultant from Odebrecht Company Limited, Mr Jean Comtesse, says that they were in Tanzania for the second time essentially to contribute to the technical improvement of the project. "Having the best technical solution will have an impact on the final characteristic of the project and on its environment which everyone knows is very critical," Mr Comtesse said.

The project, with the government's blessings, has the potential to produce 2100 MW. Brazil produces over 85 per cent of her energy by using hydropower. Mr Masanja noted that RUBADA believes that come 2015, Stiegler's Gorge Power Project will start producing electricity and therefore bring a huge relief to the ongoing power crises experienced in the country.

Odebrecht Company Limited is reputed for its involvement in big and successful construction of big hydropower projects in the world. It was involved in construction of the world's second power project found in Brazil with the capacity to produce 14,000 MW. Apart from having projects in various parts of the world, it has also ongoing projects in neighboring countries of Mozambique and Angola.

Once completed, Stiegler's Gorge Power Project will occupy 1200 square kilometers of the Selous Game Reserve with 54,000 square kilometres. According to Mr Masanja, the whole of the Rufiji Basin has the potential to produce 4,000 MW. Currently, Tanzania needs 1500 MW but the country has the capacity to produce only 350 MW.

Source: Daily News Online
 
Kumbe kulikuwa na haya, shukurani kwa kuibua habari hii. Itakuwa vizuri

Labda hii pia ni moja ya yale makaburi Mkulu hataki hata kuyafukua.
 
Kumbe kulikuwa na haya, shukurani kwa kuibua habari hii. Itakuwa vizuri

Labda hii pia ni moja ya yale makaburi Mkulu hataki hata kuyafukua.

Huu mradi ni wa kitambo sana, hata kabla mambo ya gesi hayajaanza. Lakini watawala walirukia katika gesi wakaacha huu mradi. Hiyo miradi yenyewe ya gesi imekula pesa kibao, na huku hata uzalishaji wa 200 MW haufiki. Wameacha njia rahisi ya uzalishaji wa umeme, wameenda kuzika pesa katika WHITE ELEPHANT project ya gesi.
 
Ethipopia wao wamekamilisha mradi wa hydro wa 10,000MW na wameanza mradi mwingine utakaokuwa na uwezo kama huo. Sisi tumekalia maneno tu.

Na hapohapo tunataka kwenda kununua umeme toka ethiopia.
 
Kule hakuna hela ya kupiga ingawa ndio kwenye urahisi. So hakuna mwenye uthubutu wa kuwekeza kule Ni porojo tuuu
 
Na hapohapo tunataka kwenda kununua umeme toka ethiopia.
Without considering other factors, labda wameona its economically feasible to import from Ethiopia than generating ourselves.
 
Kama ungekuwa unawezekana ungeshatekelezwa.
Gasi ipo ndio maana kila siku inapigiwa chapuo.

Pia, maji na maporomoko pia yapo hata sasa hayajakauka. Katika gas walikuwa radhi kutumbukiza zaidi ya trillion mbili ili mradi tuu gesi ifike dar es salaam.
 
Without considering other factors, labda wameona its economically feasible to import from Ethiopia than generating ourselves.

Hakuna urahisi wa hivyo, kwa vyovyote vile ukiweka mbali ufisadi, inatakiwa tutakachozalisha (umeme) sisi wenyewe kiwe rahisi kuliko cha kuimport.
 
Huo mradi ungegarimu kiasi gani cha pesa mpk ukamilike? Labda ni matrilion mingi sana
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom