Kwa nini SUA mgao wa umeme mkali kuliko sehemu nyingine? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini SUA mgao wa umeme mkali kuliko sehemu nyingine?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tuko, Jul 15, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Nakumbuka wakati wanatangaza mgao wa umeme, TANESCO walisema kuwa mgao huo hautaathiri maeneo kama mahospitali, vyuo vikuu na maeneo mengine muhimu. Lakini cha kusikitisha ni kuwa kwa sasa SUA ndiyo inayokatiwa umeme kuliko maeneo mengine yote mjini Morogoro, ambapo umeme unakuwepo mara moja au mbili kwa wiki! Hivi hii ni kwa SUA tu kati ya vyuo vikuu au hata vyuo vingine kama UD?
   
Loading...