Kwa nini Slaa asiwe rais kule alikoshinda?

dropingcoco

Senior Member
Jun 21, 2008
124
11
Ingekuwa fursa nzuri sana kwa ile mikoa yote Slaa aliyoshinda awe rais na mkwere nae awe kule kwake, ili kupunguza malumbano, naona tume inapata muda mgumu sana wa kuchakachua ilhali kuna shortcut. Nadhani watanzania hatutakuwa na pingamizi katika hilo
 
Hakyanani Nakubaliana na wewe tena naahidi kuhamia kule atapokuwa Rais Slaa. Nadhani itakua china ndogo
 
Nikweli ingekuwa poa sana slaa awe rais kule alikoshnda sema uchakachuzi umechukua nafasi.
 
me naona bora wote, bamdogo Slaa, uncle Lipumba na dogo JK wapewe madaraka halafu atakaye timiza apewe uprezdenti ..
 
Back
Top Bottom