Kwa nini simchagui Jakaya Mrisho Halfani Kikwete hapo J'pili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini simchagui Jakaya Mrisho Halfani Kikwete hapo J'pili?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Oct 25, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  1. Kabadilisha mfumo wa CCM
  a. Yeye yuko kwenye kundi la CCM JK Family
  b. Kamati kuu ya CCM kwa sasa ina wajumbe wawili tu (JK na Mama Salma)
  c. Halmashauri ya kuu ya CCM ina wajumbe wafuatao: JK, Mama Salma, Ridhiwani, Miraji, Makamba, Zakia Meghji, Kinana, Lt. Gen. Shimbo, Tambwe Hizza, January Makamba, Mwamvita Makamba, Rostam Aziz, Eddo, Andy Chenge, Mramba na wengineo
  d. Mkutano Mkuu wa CCM ni Halmashauri Kuu ukiongezea wengi wa type yao

  NB: Huu ndio mfumo wa CCM wenye nguvu na ule ulio kwenye katiba ya CCM ni gelesha tu na utatumika rasmi endapo JK atashinda uchaguzi mkuu wa 2010.

  2. Anategemea sana kuomba misaada kutoka nchi tajiri kwa ajili ya kuboresh maisha ya watanzania kitu ambacho ni hatari kwa uhuru wetu
  3. Anakumbatia mafisadi
  4. Anabariki rushwa
  5. Mzushi
  6. Si mkweli
  7. Mwepesi kusahau na kudanganywa
  8. Afuati katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
  9. Serikali ya Chama cha CCM JK Family kitakuwa kwa maslahi ya JK family
   
 2. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  teh teh teh acha kudanganya wenzako wewe unampenda sana jk wewe...sema tu ukweli from the bottom of ur heart to the four chamber.....
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Unasababu chache wewe!
   
 4. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Nikizi-unpack hizi zitakuwa nyingi sana!
   
Loading...