hassan kisabya
Senior Member
- Jun 14, 2014
- 165
- 109
Kila nikizipima timu hizi huwa naona ndio kikwazo cha soka letu, naamini timu hizi zimepoteza sifa ya kuwa timu za soka. Zimekuwa zikileta migongano, chuki na hata uhasama nashauri kwa wapenda soka kuzitenga timu hizi. Kuziombea dua mbaya zife ili kizazi kipya kije na sisi kama taifa siku moja tufike mbali kisoka.
Tumeanza kusikia maneno ya kisiasa katika mchezo wa kesho kuwa kuna watu watafanya vurugu, kuchoma kadi na bendere za vyama kadhaa hapa nchini. Sasa jiulize hilo ni soka na haya mengine yanatoka wapi?
Simba na Yanga ni janga la Taifa. Kesho akifungwa mtu utaona hali itakuwaje, sasa hii soka gani?