Kwa nini silikusanywa silaha na kuchomwa

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
bonfire6.jpg

Unajua kwa nini operesheni hii ilifanywa hapaTanzania?
Serikali imeshahisi tunakoelekea ni kubaya siku wananchi wakishindwa kuvumilia ubwebwaji wa mafisadi itakuwa kazi ,hivyo ni bora kuanza kukusanya silaha walizonazo wananchi hawa Je hili litawasaidia kuvunja nguvu za uma ?
 
Kukusanya siraha ni kwa sababu ya usalama wetu pia. Maana ujambazi ulishachukua nafasi kubwa na wakina Mahita walichukulia kama ni sehemu ya kujitajirisha kwa gharama za maisha ya watizedi.
Mi naona wacha ziteketezwe. Na kama hiyo ndiyo ilikuwa kusudi lao basi lilikuwa ni kusudi zuri maana sasa twalala usingizi.
 
silaha kuwa mikononi kwa watu wasiohusika nazo ni matatizo sana kwa jamii,hivyo si vibaya kuwanyan'ganya hizo silaha na kuziteketeza
 
Back
Top Bottom