Kwa nini siku hizi wanawake wanapenda kuwa single??

mbona sitemptiki! wanaume wa watu wakuwa deal ndio maana kuna infidelity! hata wangu najua anachunwa somewhere!

Kwa hiyo ina maana na wewe unachuna wa wenzio, sio??? Uzinzi ni dhambi mbaya sana na imekuwa sababu ya wengi kuharibu familia zao. Sitegemei wanawake ku-intertain hii kitu kwa kukubali kuwa ni sawa tu kwa waume zao "kuchunwa".
 
Sisi wataalam wa infidelity huwa haturudii vibinti. Ukisha hit una run.. Thats the first law of traditional infidelity. Hiyo forester ataikamatia wapi?

You can say that again.

Nakwambia hawa kina dasophy huwa wanachangia gharama kama unawapa huduma stahili. Najua mtabisha lakini ndiyo hali halisi.

You see? Huo ndio ukweli wenyewe. Huko nje tunaenda kufanya mazoezi. Mechi za mchangani muhimu sana kwa ajili ya kukuza ndoa...

Akili ya kuambiwa..... mix with yours!!

Tumezaliwa kwa kazi hiyo... Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja ila mwanaume kwa hakika ameumbwa kwa ajili ya mwanamke zaidi ya mmoja. Mkiuelewa ukweli huu wala hamtapata shida.....HAMTAPATA TABU KWA KWELI........
U can this over and over again.
 
Kwa hiyo ina maana na wewe unachuna wa wenzio, sio??? Uzinzi ni dhambi mbaya sana na imekuwa sababu ya wengi kuharibu familia zao. Sitegemei wanawake ku-intertain hii kitu kwa kukubali kuwa ni sawa tu kwa waume zao "kuchunwa".

mm kama mm cwezi kamwe kutoka na mume wa mtu au mwanaume yeyote nje ya ndoa! lakini wataka nidanganye mume wangu ni mwaminifu hawezi kuchunwa wakati najua nadanganya?
 
Hawaintertain mkuu. Wanalazimika kukubaliana na hali halisi.
 
mm kama mm cwezi kamwe kutoka na mume wa mtu au mwanaume yeyote nje ya ndoa! lakini wataka nidanganye mume wangu ni mwaminifu hawezi kuchunwa wakati najua nadanganya?
Ewaaaaa! Sasa umeanza kuujua ukweli. Endelea kuishi na ukweli huu, na magonjwa kama presha utakuwa unayasikilizia kwa mbali. Sasa kuanzia leo uwe unamnunulia mmeo kondom ili asikuletee yale maradhi mengine. Sawa?
 
shikamoo kaka asprin!
 
Jamani nani anataka kunichuna??
Nipo rechabo kwenye sector ya kuchunwa!!
please! hata Vitz nitatoa tu!! MAELEWENO yapo, inategemea aina ya bidhaa na ubora wake, na inakuja ikiwa attachments za aina gani na ubora gani!!!!.....hivi vyote vitakuwa vigezo vya ke-determine ukubwa wa uchunwaji utakaofanyika.
 
nilipata pressure nilipokua bado mdogo nilijitia kiherehere cha kutaka kmjua mwizi wangu, ci niliipata yani alikua dasophy hasa, maneno kama radio. sasa hivi nimekua mzoefu si babaiki tena.
Be good and keep the lesson in your good head Mom....u see life isn't that cruel.
 
Wapo kikazi zaidi baada ya kukosa nyama ya ulimi. F1 anajua hili. Pia somo la feminism limewaingia sana. Wengi walio singo ni wadada wasomi. Pia wana msemo unasema raha jipe mwenyewe usingoje kupewa. Sasa wanajipa hadi ile raha wanayopaswa kupewa kwa kutumia matango na maji ya vuguvugu.
 
Its true nawasupoort kabisa ukiwa single unakuwa huna pressure kabiga simu au hajapiga,ooh sijui weekend hii atanipigia au nini?na mara nyingi wanaume wa kibongo ukijitangazia ubusy say two weeks in arole lazima atakuwa curious na yeye ndio atakutafuta...mie hiyo naipenda zaidi....kuwa kikazi zaidi no pesha no what...
 
Kiongozi Kakakiiza
Kuwa kimaslahi zaidi ni sawa. Katika biashara yoyote hakuna anayependa hasara, hasara ikija iwe ni bahati mbaya. Mahusiano ni biashara. Sasa wanawake wakiangalia maslahi zaidi kuna tofauti gani na anayehama kazi kutafuta yenye maslahi zaidi?
Pili wanawake hawana matatizo kwenye hilo la kupenda waume za watu kwani linaendana na la maslahi zaidi...kumbuka "dunia ya sasa imani imekwisha, nyoyo za watu zimebadilika. Hata hakuna uaminifu tena, kwenye watu 10 binadamu mmoja... "
 
Wapo kikazi zaidi baada ya kukosa nyama ya ulimi. F1 anajua hili. Pia somo la feminism limewaingia sana. Wengi walio singo ni wadada wasomi. Pia wana msemo unasema raha jipe mwenyewe usingoje kupewa. Sasa wanajipa hadi ile raha wanayopaswa kupewa kwa kutumia matango na maji ya vuguvugu.
hehehehe hapo full raha mawazo ya mimba zisizotarajiwa na magonjwa ya zinaa unakuwa huna kabisa
 
[/U]

Hapa haongei mtu yanaongea majeraha. Pole, naona yamekukuta yakukukuta. Wanaume si makorokocho. Avoid generalization. Shida siku hizi wanawake wengi (sio wote) wanajirahisi sana mpaka thamani yao inapungua. Ukitulia na kujiheshimu lazima upate mme (nasema tena lazima). Lakini ukiwa mwarumwaru wavulana watakuchezea na kukuacha na baadae una-generalize kuwa wanaume ni makorokocho. Hakuna mwanaume anayependa kuoa mke mwarumwaru. Lakini kwa wale wanaopiga part-time mwarumwaru si taabu maana anajua ni temporary service.

Thanks Kaburunye maana umeongea kitu ambacho wengi wanafanya!!Naukitupa jiwe katika giza mara ukasikia mamaweee ujue limempata mtu!!kweli huyu Ros1980 yamemkuta ndiyo asema wote makorokocho!!Nazaidi wanaoumia niwale namtaka anipekitu fulani nasisi kwakuwa tunakutongoza kwa mbinu nyingi hujikuta umeangukia katika mikono ya waharifu wamapenzi hapo lazima aumie.!!
 
Kiongozi Kakakiiza
Kuwa kimaslahi zaidi ni sawa. Katika biashara yoyote hakuna anayependa hasara, hasara ikija iwe ni bahati mbaya. Mahusiano ni biashara. Sasa wanawake wakiangalia maslahi zaidi kuna tofauti gani na anayehama kazi kutafuta yenye maslahi zaidi?
Pili wanawake hawana matatizo kwenye hilo la kupenda waume za watu kwani linaendana na la maslahi zaidi...kumbuka "dunia ya sasa imani imekwisha, nyoyo za watu zimebadilika. Hata hakuna uaminifu tena, kwenye watu 10 binadamu mmoja... "

Kiongozi Mpambalyoto,
Nawaonea huruma kwani unapomtongoza mwanamke nimbinu nyingi hutumika kama vile zakivita nakumbuka Zilikuwa zikiitwa MM kwawale wa nation service!Sasa wakienda na na wazo lkima slahi hujikuta wanaangukia katika mikono ya waharifu maharamia(Pirates) Sasa basi na wanaume wanata huduma yenye uaminifu angalau 6mnth nakuendelea sasa hapo anaweza kutoa kile unachotaka!!Hila mada nikwanini wana wake wanda kuwa single??Tatizo mimi ninaona siyo wavumilivu!
 
Wadau nini haswa kimewaingia akina Dada haswa huku mjini hataki uhusiano wamda mrefu,
Pili wengi wanapenda waume za watu
Tatu Wapo kimaslahi zaidi mimi hiikitu inanishangaza sana utasikia mimi nina mumewa mtu ndo boyfriend wangu mume wamwenzio unasema ni Boyfriend wako jamani??!!!Ukimpata akaona unamganda lazima akutafutie sababu z.kukwaza ili hawe huru nisaidieni kwanini

Kama wa mjini wako hivi, nenda kwa wa shamba! Je, unataka kuoa? 1. uhusiano wa muda mrefu utampunguzia wigo wa soko, 2. waume wa watu hawawezi kuwa nao muda wote na mwingi, hivyo wana muda wa kutoa huduma kwingine, 3. ni wafanya biashara hao, ndio maana wanasisitiza 1 & 2. Kwa kifupi, wanatekeleza amri za shetani!!
 
Tamthilia hizi za kwenye TV zinawavuruga kwa sana!

mbona kwenye hizi tamthilia wengi wao wanakuwa na wapenzi wao wanaowapenda kwa dhati, wanapitia majaribu ya kila aina stili wanaendelea kuwapenda na mwisho wa tamthilia wanakuwa pamoja! nahisi ndo zingekuwa msingi mzuri wa kuwafundisha jinsi ya kupenda kwa dhati!
 
Waume za watu wanachunika kirahisi bwana anakuja na mastress yake unapoza unambembeleza ahahah wallet inafunguka yenyewe
mapenzi ya pesa kwangu ni sumu, nitafanya mapenzi na mtu niliempenda kwa dhati, hata uwe milionea kama sijakupenda ndio hivyo tena!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom