Kwa nini siku hizi star tv na rfa hasomi gazeti la tanzaia daima asubuhi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini siku hizi star tv na rfa hasomi gazeti la tanzaia daima asubuhi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PAMBANA, Mar 3, 2011.

 1. P

  PAMBANA Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wanaJF naomba kuuliza swali " kwa nini siku hizi watangazaji wa STAR TV na Redio Free Africa hawalisomi gazeti la TANZANIA DAIMA katika kipindi cha watanzani tuzungumze magezeti cha saa 12:30 asubuhi?" Najua kuna watu hapa watasema kuwa mbona kuna magazeti mengi hayapitiwi asubuhi,ni kweli ila hili ni miongoni mwa magazeti ambayo walikuwa wanapitia vichwa vyake vya habari.Tafadhali mwenye taarifa kamili kuhusu hili naomba atujuze.  :rain:MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU IBARIKI TANZANIA:rain:
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mh sijawafatilia hao, ngoja tusubiri wadau watudadavulie juu ya 'why' ?
   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Hatuhitaji media zinazotegemea ramli ya mganga.RFA wana hasira na Mh.Kiwia kumdondosha mmiliki wake Diallo.
   
 4. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Labda haliwafikii muda muafaka. Wewe unafikiri kuna sababu gani ningine inayosababisha wasisome wakati wanaasoma Raia mwema, kulikoni, mwanahalisi na mengine.

  Kwanini tanzania Daima gazeti la mungu wa Chadema?
   
 5. P

  PAMBANA Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda haliwafikii muda muafaka. Wewe unafikiri kuna sababu gani ningine inayosababisha wasisome wakati wanaasoma Raia mwema, kulikoni, mwanahalisi na mengine.

  Kwanini tanzania Daima gazeti la mungu wa Chadema?


  Pole sana kwa usisiem wako angalia usije ukapata vidonda vya tumbo maana hasira uliyonayo si ya kawaida
   
Loading...