Kwa nini siku hizi polisi hawana filimbi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini siku hizi polisi hawana filimbi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulimakafu, Oct 18, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Kama sinema vile,jana muda wa saa kumi kasoro hivi mitaa ya Samora karibu na PPF House kibaka/mwizi alikuwa anafanya vitu vyake ghafla akakurupushwa na askari polisi mwenye sare na reflective jacket yake akaanza kumfukuza kupitia mtaa wa Mission, polisi akapigwa chenga kibaka katimua mpaka mitaa ya DMI na kuzama ndani na kuibukia bandarini.Wakati wote huo polisi alikuwa anamfukuza bila na kuwa na filimbi ambayo ingemsaidia kumtia nguvuni kiurahisi kama ilivyokuwa hapo zamani.Siku hivi vipi polisi hawabebi/vaa filimbi?
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  labda serikali ya magamba inataka kuwapatia mavuvuzela kila polisi awe na vuvuzela lake!
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Lakini ni vitendea kazi vya mawaida pamoja na rungu,au fasheni imepita?
   
 4. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Polisi walikuwa zaman siku hiz matoz kibao.
   
 5. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Issue sio kuwa nayo bali ni matumizi.... are you sure kuwa hakuwa nayo??
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Angekuwa nayo si angeitumia?
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Labda magamba waliwaambia hivyo ili wasiwezi kuwakamata hao vibaka kwani huonda ni moja ya ajira walizosema zimeongezeka kwa vijana
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Ninaa hakika maana alimkimbiza zaidi ya mita 200 na watu wanaangalia tu.
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Labda mkuu.
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Kabisa aka sharobaro.
   
 11. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hawana filimbi,siku hizi naona hawana mgao,angalia hata namba vifuani mwao ni nadra kuziona, hata vjana wanaotoka depo ukiwaona na namba basi ni za kuchonga za plastik wakati zamani ilikuwa chuma. Lkn pia upolisi siku hizi unatoweka unashangaa mtu ana pass out kutoka chuoni hajui kutumia police aid, so c ajabu kuona askari huyo kumfukuza kibaka all that long bila kupuliza filimbi hata angekuwa nayo
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapa umenena,wanatakiwa kuboresha mazingira yao ya kazi.
   
 13. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  cku hizi wana ak 47
  hata mwizi wa kuku
  wanamlenga tena hawavnji miguu
  they shoot to kill  ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Kweli CCM oyeee...................
   
Loading...