Kwa nini serikali imeshindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi hadi leo 2/11/2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini serikali imeshindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi hadi leo 2/11/2011

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MWANIKO, Nov 1, 2011.

 1. M

  MWANIKO Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hadi leo wafanyakazi wa umma hawajalipwa mishahara yao,je CHADEMA mko wapi ktk kero hii nchini?
   
 2. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwani CDM suluhisho mngekuwa mlijua kuwa ni suluhisho basi 2010 mngewapa nchi ili waweke mambo sawa. Dr Slaa aliwambia kumchagua m.kwe.re ni janga la taifa hamkusikia sasa mnalalamika nini.

  We hukumbuki enzi za mwinyi wafanyakazi walikuwa wanaidai serikali na wengine waliamua kuacha hadi kazi wakaamua kujiajili ndo tunakoelekea sasa mtakoma kuchagua ccm
   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Subirini Rais kapata msaada toka UK kwa Cameroun ila kuna sharti la sodomanization mko tayaaariiiiiiiii?????? mapesa bwelele yakuja
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  polisi baadhi nasikia hadi leo hawajapata mishahara.waliopata ni wale wanaopokelea mezani ambao bado hawajatengenezewa utaratibu wa kuchukulia bank.vilevile wapo baadhi waliopokea kupitia bank lakini hela imepungua si kama walivyozoea kupokea.wakikatwa kwa wale wenye mikopo bank ikikata deni unaweza usirudi na kitu nyumbani.ni hatari sana.mwaka huu mabomu ya machozi yatagoma kulipuka.
   
 5. k

  kingukitano JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,971
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  weweacha uongo wako ni wafanyakazi wa umma wa wapi ambao hawajalipwa mshahara,mana mimi nimevuta mpunga na mishahara imetoka tangu wiki iliyopita acha unafiki,ukizeeka utakua secretary wa shetani
   
 6. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu thread nzuri ila umeitibua na hiyo red.

  Toka lini CDM walikuwa na uwezo wa kutatua kero za wananchi?, wao kazi yao si kutatua bali ni kuzianisha ili aliyejitwalisha utawala atekeleze. Yaani CCM imekuwa ni kama vile Tajiri asiye na ujuzi wowote, anataka atengewe ofisi kwenye kampuni yake ili aonekane yeye ndiyo CEO wakati hata maana CEO hajui, kutoa maamuzi anatumia hisia na ubabe wa umiliki zaidi ya prefession. Akiambiwa na wataalam kuwa Kampuni karibu itafilisika kwa kuwa hakuna investment mpya zinazofanyika anakasirika na kumfukuza kazi mtaalam kuwa kamtukana kwa kumwambia kampuni inakaribia kufilisika.
   
 7. C

  CYPRIAN MKALI Senior Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 150
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ulianza vizuri kwa kujielezea wewe ila umekosea ku'geralize' kwenye hiyo red. umetumwa mbona unahasira hivyo, niligemea ungemfahamisha kuwa nyie tayari ili na sisi tupate matumaini maana hali ya mwaka huu wa fedha sio nzuri ipo.
   
 8. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  Wewe ndio muongo mkuu....hata mimi niko serikali kuu hadi leo ni kimya
   
 9. Gobret

  Gobret JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ukivuta wewe usidhani na wengine nao wamevuta kama wewe. Huu ni upungufu wa akili kichwani (UAKI). Kuna vitengo vingapi vya serikali? Kuna taasisi nyingi za serikali ambao mishahara yao hucheleweshwa. Sababu kubwa haieleweki. Kama unataka kujua basi waulize hao wa taasisi za serikali ndio utajua hayo yote. Tatizo lako kubwa ni kujifanya mlokole uchwara. Hufikiri kwa kutumia akili. Unajifikiria mwenyewe ndio maana huoni matatizo ya watu wengine wanapolia na serikali juu ya maslahi yao.

  Akili ni mali, tumia akili, usibane akili.
   
 10. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Poleni sana ndugu zangu, najua wafanyakazi wengi hawkuichagua CCM, ni victims tu. Ila wale wa kujikomba tuache.
   
 11. Jembe Ulaya

  Jembe Ulaya JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 27, 2008
  Messages: 456
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Gharama ya kampeni Igunga ilikuwa shilingi ngapi tena?
   
 12. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wanataka tufike hadi tarehe 37,38,39,40,,,,,,bila mishahara!Mwaka huu tutakula mchanga.
   
 13. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  Hela ziliishia
  igunga coz kura
  moja walinunua kwa
  laki mbili
  na blala nyingine kibao
  lool nji hii bwana
   
 14. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Mliambiwa hataki kura zenu.. Sasa mnalia na nani? Uzeni zile khanga, tshirt na kofia muendeshe maisha.
   
 15. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mpumbavu mkubwa, ukipata wewe sio wote wamepata mbweha we, wengi hatujapata, au nyie ndio wapeleka majungu kwa kiwete na hivyo mnalipwa kabla ya wenzenu?
   
 16. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nenda kapimwe Ubongo wako kisha urudi tena kutoa maoni humu, kwani nahisi utakuwa umepata mtikisiko wa ubongo, wadau wapo siriasi sana kwenye hili jamvi
   
 17. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi nikajua labda tatizo ni Manispaa ya Iringa tu, kumbe hadi kwenu???

  Thread yako ni nzuri sana ila sioni kama CDM hili swala linawahusu, hili ni la Wafanyakazi wenyewe bali sio vyama vya siasa
   
 18. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Wafanyakazi wa manispaa na halmashauri wamepata tangu tarehe 23. Taasisi zinazojitegema nazo wamepata mshahara. Serikali kuu hasa Wizara ya Elimu mshahara bado mpaka sasa, maisha yamekuwa magumu kwa watu wengi sana.
   
 19. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kweli mkuu, halmashauri nyingi wamepata ila serikali kuu wengi tunalia.
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Slaa alimtukana Rais Kikwete, sasa kafuatilie yanayomtokea ndani ya CDMA anajuta kunyea kambi. Mwaka 2015 hana chake tena. Hivi wewe utamwitaje Rais Janga la kiataifa , hata kama siyo rais, binadamu mwenzako unamwita janga? Hakika kweli siasa haramu, jamaa katupa kabisa upadre na unavyotupa jongoo na mti wake. Laana sasa zimeanza kumwandama. Mbona hajazungumzia ya Lema . Au ndo ameshapigwa stop hata kuongea. Nasikia amegomea watu wasijilipe madeni waliokikopesha Chama. SASA atawatambua Ndesa na wenzake ni akina nani.
   
Loading...