Kwa nini sasa Mitaa, barabara na majengo yenye majina ya watu wa nje yasibadilishwe na kuitwa majina ya mashujaa wetu?

Madimba jr

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
1,577
3,143
Hakuna kitu sikipendi kama kuita mitaa au barabara majina ya watu ambao hawana impact kwa vizazi vyetu mfano Sam Nujoma,Namndi Azikiwe,Mwai Kibaki Road,wakati tuna majembe yetu Mkwawa,Chief Mareare,Chief Machemba,Mwinyigumba,King Majuto,Steve Kanumba,Diamond,Ali Kiba,Marijan Rajab,Tiex Mosh William,Ngurumo,Moses Nnauye,Kambona yan icons kibao tunawaacha wanapotea tu hivi hivi,Mzee Sykes vijana mnamjua? hata wasomi wapo kibao kama wakina Shivji kwa nini Iwe Nkurumah hall na sio Temeke Sanga Hall? hivi kuna anayemjua aliyetunga wimbo wa taifa,Tazama Ramani,Tanzania Tanzania? tumeshindwa hata kuwapa majina yao kwenye madaraja kama Mfugalle bridge? hizi ndo urithi zenyewe za taifa jamani sio kila siku Mkapa bridge,mkapa tower,BW Mkapa high school what a selfish.....atleast leo nimeona jambo watu wa sumbawanga wamefanya wamempa Shule Diamond hii anagalau inaleta heshima kwa wasanii wetu ambao kimsingi wanaonekana hawana maana ila kipindi cha kampeni ndo tunawaona wa thamani kubwa....kwa taifa letu lilipofikia hakuna namna hawa ndio wanaotuwakilisha vyema kimataifa na wala sio jiwe,Au Lusinde Kibajaji,wala taifa stars tuwape heshima yao ili jamii na vizazi vijavyo vione umuhimu wa wao kujituma na kuwa inspired,huo ndio uzalendo tunaoutaka na sio vinginevyo.Kwani haiwezekani kuwa na Ali Kiba road? Kwani haiwezekani kuwa na Steven Kanumba Hall?
 
Hakuna kitu sikipendi kama kuita mitaa au barabara majina ya watu ambao hawana impact kwa vizazi vyetu mfano Sam Nujoma,Namndi Azikiwe,Mwai Kibaki Road,wakati tuna majembe yetu Mkwawa,Chief Mareare,Chief Machemba,Mwinyigumba,King Majuto,Steve Kanumba,Diamond,Ali Kiba,Marijan Rajab,Tiex Mosh William,Ngurumo,Moses Nnauye,Kambona yan icons kibao tunawaacha wanapotea tu hivi hivi,wasomi wapo kibao kama wakina Shivji kwa nini Iwe Nkurumah hall na sio Temeke Sanga Hall? hivi kuna anayemjua aliyetunga wimbo wa taifa,Tazama Ramani,Tanzania Tanzania? tumeshindwa hata kuwapa majina yao kwenye madaraja kama Mfugalle bridge? hizi ndo urithi zenyewe za taifa jamani sio kila siku Mkapa bridge,mkapa tower,BW Mkapa high school what a selfish.....atleast leo nimeona jambo watu wa sumbawanga wamefanya wamempa Shule Diamond hii anagalau inaleta heshima kwa wasanii wetu ambao kimsingi wanaonekana hawana maana ila kipindi cha kampeni ndo tunawaona wa thamani kubwa....kwa taifa letu lilipofikia hakuna namna hawa ndio wanaotuwakilisha vyema kimataifa na wala sio jiwe,Au Lusinde Kibajaji,wala taifa stars tuwape heshima yao ili jamii na vizazi vijavyo vione umuhimu wa wao kujituma na kuwa inspired,huo ndio uzalendo tunaoutaka na sio vinginevyo.Kwani haiwezekani kuwa na Ali Kiba road? Kwani haiwezekani kuwa na Steven Kanumba Hall?
Au mitaa iitwe majina ya mambo yanayotufanya tuwe donor country...
Korosho road
Makinikia street
Wasiojulikana Avenue
Sijaribiwi house
Sipangiwi stadium
nk nk nk...
 
Huko kwenu hamna mitaa muweke hayo majina au unataka hadi mtaa uwe Oyster Bay?

IMG_3667.JPG

Sisi tuna hao kina Mkwawa huku Oyster Bay.
 
Hakuna kitu sikipendi kama kuita mitaa au barabara majina ya watu ambao hawana impact kwa vizazi vyetu mfano Sam Nujoma,Namndi Azikiwe,Mwai Kibaki Road,wakati tuna majembe yetu Mkwawa,Chief Mareare,Chief Machemba,Mwinyigumba,King Majuto,Steve Kanumba,Diamond,Ali Kiba,Marijan Rajab,Tiex Mosh William,Ngurumo,Moses Nnauye,Kambona yan icons kibao tunawaacha wanapotea tu hivi hivi,Mzee Sykes vijana mnamjua? hata wasomi wapo kibao kama wakina Shivji kwa nini Iwe Nkurumah hall na sio Temeke Sanga Hall? hivi kuna anayemjua aliyetunga wimbo wa taifa,Tazama Ramani,Tanzania Tanzania? tumeshindwa hata kuwapa majina yao kwenye madaraja kama Mfugalle bridge? hizi ndo urithi zenyewe za taifa jamani sio kila siku Mkapa bridge,mkapa tower,BW Mkapa high school what a selfish.....atleast leo nimeona jambo watu wa sumbawanga wamefanya wamempa Shule Diamond hii anagalau inaleta heshima kwa wasanii wetu ambao kimsingi wanaonekana hawana maana ila kipindi cha kampeni ndo tunawaona wa thamani kubwa....kwa taifa letu lilipofikia hakuna namna hawa ndio wanaotuwakilisha vyema kimataifa na wala sio jiwe,Au Lusinde Kibajaji,wala taifa stars tuwape heshima yao ili jamii na vizazi vijavyo vione umuhimu wa wao kujituma na kuwa inspired,huo ndio uzalendo tunaoutaka na sio vinginevyo.Kwani haiwezekani kuwa na Ali Kiba road? Kwani haiwezekani kuwa na Steven Kanumba Hall?

Umenena mkuu, navutiwa sana na majina kama Milambo st, Tambaza Sec, Kibasira Sec,Shaaban Robert, Kaluta st, Isike st, Fundikira nk. Waongeze na mengine maana tuna watu wengi walioinua na kulitangaza jina la Tanzania
 
Watu mna nongwa sana.

Wamba wetu majina yao yapo sana mitaani huku.

IMG_3668.JPG
 
Hakuna kitu sikipendi kama kuita mitaa au barabara majina ya watu ambao hawana impact kwa vizazi vyetu mfano Sam Nujoma,Namndi Azikiwe,Mwai Kibaki Road,wakati tuna majembe yetu Mkwawa,Chief Mareare,Chief Machemba,Mwinyigumba,King Majuto,Steve Kanumba,Diamond,Ali Kiba,Marijan Rajab,Tiex Mosh William,Ngurumo,Moses Nnauye,Kambona yan icons kibao tunawaacha wanapotea tu hivi hivi,Mzee Sykes vijana mnamjua? hata wasomi wapo kibao kama wakina Shivji kwa nini Iwe Nkurumah hall na sio Temeke Sanga Hall? hivi kuna anayemjua aliyetunga wimbo wa taifa,Tazama Ramani,Tanzania Tanzania? tumeshindwa hata kuwapa majina yao kwenye madaraja kama Mfugalle bridge? hizi ndo urithi zenyewe za taifa jamani sio kila siku Mkapa bridge,mkapa tower,BW Mkapa high school what a selfish.....atleast leo nimeona jambo watu wa sumbawanga wamefanya wamempa Shule Diamond hii anagalau inaleta heshima kwa wasanii wetu ambao kimsingi wanaonekana hawana maana ila kipindi cha kampeni ndo tunawaona wa thamani kubwa....kwa taifa letu lilipofikia hakuna namna hawa ndio wanaotuwakilisha vyema kimataifa na wala sio jiwe,Au Lusinde Kibajaji,wala taifa stars tuwape heshima yao ili jamii na vizazi vijavyo vione umuhimu wa wao kujituma na kuwa inspired,huo ndio uzalendo tunaoutaka na sio vinginevyo.Kwani haiwezekani kuwa na Ali Kiba road? Kwani haiwezekani kuwa na Steven Kanumba Hall?

kweli vilaza wengi mtoa mada usirudi humu huna hoja tubadilishe jina la samora tuite diamond unajua mchango wa samora katika kukomboa uhuru wa mwafrika. diamond kafanya nini zaidi ya kusuka kuvaa hereni kuweka tatoo na kuimba nyimbo za matusi huyo diamond hawezi hata kidogo kuwafikia wanamuziki wa zamani tabora jazz western kilwa jazz mbaraka mwishehe salum abdalla mpaka nyerere alikuwa akiwapenda
 
we ndo K kweli kwa io hao wote niliowataja umemuona Diamond tu? mijitu mingine michoko kweli umeshindwa hata kuelewa logic ya post yangu halaf mwisho wa siku umerudi pale pake kwakina Mwishehe na Tabora Jazz,rudia tena kusoma post yangu acha unyegezi wewe
 
Huko kwake madale au tandale wamuweke Jina lake syo mbaya

Ova
 
Back
Top Bottom