Kwanini Prof. Baregu amenyimwa kazi UDSM?

Mkataba ukiisha sio lazima kuongezwa!

Ni kweli mkataba ukiisha sio lazima kuongezwa lakini mbona wanaonyimwa nafasi za kurenew ni wanaotoka upinzani tu?mbona wanotumikia chama chenu cha mafisadi hawanyimwi?acha ushabiki....ebo!huna hata ubinadamu.
 
It is a new story to hear this. Kwani yeye si alikuwa anaundisha hapo na kaenda sebatical leave? Akirudi nyumbani mtu aliyekwenda kuongeza uzoefnchi za mbali anakataliwaje kupewa kiti chake?
Siasa au?
Me nashangaa jamaa anakuja tu hapa anaropoka, eti Baregu kanyimwa mkataba, bila kujua A, B, Cs. Tatizo wabongo tumezoea tetesi, jamaa yupo SABATICAL.Basi wanazusha kanyimwa mkataba.
 
Ni kweli mkataba ukiisha sio lazima kuongezwa lakini mbona wanaonyimwa nafasi za kurenew ni wanaotoka upinzani tu?mbona wanotumikia chama chenu cha mafisadi hawanyimwi?acha ushabiki....ebo!huna hata ubinadamu.
Acha uongo, nani Kanyimwa ku renew, kama ni Baregu yupo SABATICAL. Au hujui maana ya SABATICAL?
wataje wote walionyiwa ku renew,TUSIPENDE KUSEMA MANENO BILA UHAKIKA.
 
Kwahiyo alianza na PhD then akawa Prof. Hajawahi kuwa na Bachelor na master degree?
Tatizo hawa watu wenye itikadi za Uchama hapa, kila kitu wanadhani vipo kichamachama tu. Hawana data basi wanaweka speculation eti kanyimwa ku renew mkataba. Bila hata kujua jamaa ka staaf then anaenda kajilikizo.
 
Acha uongo, nani Kanyimwa ku renew, kama ni Baregu yupo SABATICAL. Au hujui maana ya SABATICAL?
wataje wote walionyiwa ku renew,TUSIPENDE KUSEMA MANENO BILA UHAKIKA.

Ukweli ni kuwa Prof Baregu kanyimwa mkataba mpya;na habari hii kama yupo kwenye Sabbatical leave HAINA UKWELI WOWOTE na ITUPILIWE MBALI

UDSM chini ya Prof Mukandara hawajatoa sababu zozote"cardinal"kwa nin i hasa Prof Baregu kanyimwa mkataba mpya ila kuna habari za harufu ya kisiasa;habari ambayo mimi binafsi bado sijaithibitisha!

Kuelezea hali hii ya kunyimwa mkataba mpya Prof Baregu;CHADEMA walikuwa na haya ya kusema:

"Wakati huo huo, chama hicho kimelaani taarifa ya uamuzi wa serikali kwa kushirikiana na Baraza la Wadhamini wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wa kukataa kuongeza mkataba wa aliyekuwa Mhadhiri Mwandamizi chuoni hapo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Profesa Mwesiga Baregu.

Dk. Slaa alisema uamuzi huo una dalili za kumkomoa kutokana na msimamo wake thabiti wa kuikosoa serikali, kutetea umma na kuunga mkono
CHADEMA.

“Kamati kuu imelazimika kuamini hivyo kwa kuzingatia hali ya kisiasa nchini wakati maamuzi hayo yanafanyika, huku kukiwa na uhaba wa wahadhiri waandamizi kama yeye katika chuo hicho,” alisema Dk. Slaa.
Alisema kilichomtokea Profesa Baregu ndicho kilichotokea kwa Dk. Masumbuko Lamwai, aliyekuwa kiongozi ndani ya Chama cha NCCR-Mageuzi ambaye aliamua kurudi CCM"

Kwa ufupi,Prof Mwesiga kanyimwa makataba mpya na wala hayupo kwenye likizo ya matibabu kama ilivyosemwa na wana JF wengine!
 
Tatizo hawa watu wenye itikadi za Uchama hapa, kila kitu wanadhani vipo kichamachama tu. Hawana data basi wanaweka speculation eti kanyimwa ku renew mkataba. Bila hata kujua jamaa ka staaf then anaenda kajilikizo.

Kama wewe huna details kaa kimya mimi najua kuwa kakataliwa ku-renew mkataba na hakuna sababu za msingi na wala Prof. Baregu hayuko sabatical leave kama wewe unavyo dai.
 
Acha uongo, nani Kanyimwa ku renew, kama ni Baregu yupo SABATICAL. Au hujui maana ya SABATICAL?
wataje wote walionyiwa ku renew,TUSIPENDE KUSEMA MANENO BILA UHAKIKA.

Kama hujui lolote juu ya hii mada basi kaa kimya.
 
Wahenga walinena wa mbili havai moja. Hawezi kukosa kitu cha kufanya huyu bwana maana record yake inamuuza
 
Unafiki tu mbona walipo mtimua Prof Lipumba hamkusema? Aende akapige siasa after all Chadema hawana mgombea wa Urais
 
Wakuu, naombeni tusilipoliticise suala la Prof. Beregu, kama kastaafu na anaendeleaa kwa mkataba, its just a favour, don't turn a favour into right. Mwajiri ana haki ya kusema asante imetosha, kama suala la Dr. Rashid wa Tanesco, mwajiri serikali imekubali inatosha, ikaitangaza nafasi yake.

Msitake kuisingizia Chadema, mbona Dr. Mvungi ni NCCR na aligombea urais, kakosa, karudi chuo na bado ni NCCR?.
Mbona wako wahadhiri ni mwiba mkali kwa serikali na wanavumiliwa?. I think its high time, Beregu akubali yaishe, aondoke kama kina Shivji, heshima yake itabaki kuwa juu, kuliko kutaka kuendelea kuvuta shuka ilhali kumekucha na muda wake ni tayari kumekuchwa.

Ila pia lazima tukubali Prof. Mukandala kaukwaa uVC kama asante kwa kazi nzuri ya Redet inavyowafanyia CCM. Kama umepata post kwa favour, lazima umaintain status quo. Msimlaumu Mkandala, "Ukiaminiwa, jiaminishe".

Wako wanaokumbuka Daruso ikiwa mwiba kwa Serikali, ni kina Mwikabe walioi ccmmsha Daruso na kuifanya kama tawi la CCM japo leo wako upinzani, hizi njaa zitatuuwa bure!.
 
Kuna kila dalili kwamba there is politics behind the move..lazima hilo lijadiliwe naamini baregu angekuwa ana -support ccm asingenyimwa mkataba..so why kila mpinzani nchi hii anyimwe fursa kama vile ni dhambi kuwa upinzani kina lamwai, lipumba and the like waliumizwa na utaratibu huu na hii si tabia nzuri hata kidogo..na hawana faida kwa ustawi wa jamii yetu nzuri ya Tanzania...

Wahadhiri wanakuwa mwiba kwenye makongomano tuu..lakini wale wanaoonyesha kwa vitendo hasa kama kina baregu, lipumba na lamwai wanakutana na mkono katili wa dola? as if hawa jamaa wamefanya usaliti kumbe wanafanya kazi hizo kwa mujibu wa katiba and this is double standard..

siuungi mkono kumnyima prof. mkataba..kwakuwa pale kuna dr's wamezeeka zaidi ya baregu wapo kwenye mkataba kisa hawashiriki siasa wanafanya shughuli zao zingine kimya kimya..yaani wameamua kwa na low profile.

Kwanini wanataka wasomi wawe wapole ni kwa faida ya nani?
 
Nendeni zenu hii nchi sio ya baba zenu nyie CCM hamna haki ya kuzuia mlipa kodi kupata kazi wanaharamu nyie!
 
Mie nauliza kuna mtu ana CV ya Professor Baregu? Maana mara mtu anasema kasoma Stanford PhD. Je amepublish??, First degree amesoma wapi?? Second Degree?? Ameshawahi kupata research fundings?? Kupewa nafasi katika mashirika ya Kimataifa kwani si lazima maisha UDSM tu!!!

Kuna sehemu mbali mbali mfano ukipublish katika Journal (Academic Journal) marekani mara moja unaingia but umri utazuia but unaweza kupewa post nyenginezo kama ushauri etc. UDSM si mwisho wa maisha na sio lazima
 
Jamaa yupo SABATICAL JAMANI hajanyimwa kuongeza mkataba, ni the same as Shivji. Mbona tunakua wagum kuelewa?
 
Nimekubali wewe kweli ni "Semenya". Hueleweki-eleweki!!!!
Oooh yes, naweza nisieleweke now, lakini nikaeleweka later...tatizo nyie mna rely source ya waandishi wa habari....ila kwa taarifa ambazo me ninazo jamaa ameamua kupumzika for one yr....Mnapenda sana ku weka issue za UCHADEMA na U CCM..though haiwezi kukwepeka ila mnakua too much.
 
Prof. Baregu ni mwanachama wa CHADEMA. CHADEMA hao hao ndio wametoa taarifa hii hapa:

"Wakati huo huo, chama hicho kimelaani taarifa ya uamuzi wa serikali kwa kushirikiana na Baraza la Wadhamini wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wa kukataa kuongeza mkataba wa aliyekuwa Mhadhiri Mwandamizi chuoni hapo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Profesa Mwesiga Baregu".

Sasa ndugu yangu wewe unasisitiza ameamua kupumzika kwa mwaka mmoja wakati katibu wa chama chake analalamikia uamuzi wa serikali....
Kazi kweli kweli.
 
Me simsikilizi katibu wa chama bwa mdogo, nakupa data za muhusika mwenyewe...navyojua huyo katibu wenu wa CHADEMA hamshikilii maisha baregu na si msemaji wa baregu.
Take it from me na sijaamua kutunga, jamaa kaamua kuwa likizo mwaka mmoja...CHADEMA ni nani mpaka waongelee ajira ya BAREGU?
Its BAREGU mwenyewe ambae anaeweza kuongelea swala lake.
 
Back
Top Bottom