kwa nini ppf wanazuia fao la kijitoa ssra wamekosa jibu

chanawaleti

Senior Member
Jul 4, 2016
176
209
jana kwa mwembe naenda zangu ofisi za ppf Morocco pale nikiwa sijui hili wala nini nikiwa tayari nishaset malengo yangu kwa kuwa nilishaacha kazi nilipokuwa miez kadhaa iliyopita nikisema mzigo nilio nao ppf unatosha kujiajiri kabisa nikichukua niende kulima maana nimechoka na dharau za kuajiriwa kupelekeshwa bora nijiajiri kufikia pale mapokezi zile ofisi zipo pole Morocco ppf karibu na eartel Kuna dada Ana dharau pale acha unamuuliza kitu anajibu kwa jodo utadhani ofisi ni ya baba yake alinijibu kwa dharau sana adi nilinyongonyea nisubir miaka 55 sasa mimi nina 28 je 55 nitafika na tayari nishaumia? nilijitoa pale nikaenda pale ccra ni hapo hapo Morocco pia hawakua na jibu na moja kwa moja walichosema wao ppf ndiyo hawatoi kabisa ila nssf na mifuko mingine wanatoa hivi hawa ppf kwa nn wao wasitoe hawaoni wanatunyanyasa hv mm mpaka nifikishe hiyo 55 ni lini wakati nataka kujiajiri?
 
dawa yao ni kwenda ssra kwa mkurugenz.. nenda ppf wakomalie wakunyime mafao yako kwa barua rasmi..

kicha hiyo barua unampelekea bosi wa ssra na kisha mahakamani
 
Mkuu una kipaji sana cha kukwepa full stop. Yaani maelezo yote hayo umeyabananisha katika sentensi moja.

Ungeandika barua rasmi kwa SSRA ambaye ndiye mdhibiti na wakipokea barua nawe wakugongee muhuri nakala yako ili ubaki na kumbukumbu ya tarehe waliyopokea hiyo barua. Kisha usubirie jibu rasmi kutoka SSRA upate pa kuanzia.
 
dawa yao ni kwenda ssra kwa mkurugenz.. nenda ppf wakomalie wakunyime mafao yako kwa barua rasmi..

kicha hiyo barua unampelekea bosi wa ssra na kisha mahakamani
mkuu sasa si mpaka wakubali kuongea wanaongea kwa nyodo balaa
 
Back
Top Bottom