Nyamsusa JB
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 568
- 1,562
Kujito kwa vyama Pinzani katika Uchaguzi ujao wa Wenyeviti wa serikali za Mitaa na Wajumbe wake ni sawa na CCM kupewa point 3 za Mezani kwa Timu Pinzani kutokufika Uwanjani.
Nilitegemea hili liifurahishe CCM kwa kujichukulia Ushindi wa Point 3 mapema tena bila jasho lakini hali anaonekana tofauti kabisa, CCM hawakulifurahia jambo hilo.
Je ni kweli hawapendi Ushindi bila Jasho?
Je Kuna litakalo wapungukia CCM kwa Wapinzani kutoshiriki Uchaguzi?
Je ni kweli CCM wanapenda kushindana kweli kwa njia ya Uchaguzi kwa Kura?
Haya ni baadhi ya Maswali nayojiuliza na sijaweza kuyajibu. Napenda kuwashilikisha nyinyi ndugu zangu naweza kupata mwanga zaidi.
Kulalamika huku kwa CCM kwa Wapinzani kujitoa kwenye Uchaguzi ujao, Je ni kilio cha kweli au ndo kile kilio cha Mamba akitokwa na Machozi pindi alapo Windo lake?