kwa nini pinda anakwepa kuzungumza na madaktari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa nini pinda anakwepa kuzungumza na madaktari?

Discussion in 'JF Doctor' started by meningitis, Jan 26, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  wakuu mgomo wa madaktari unaendelea kushika kasi,ni mgomo unaweka historia kwa kuhusisha sehemu kubwa ya tanzania.ninavyoona wizara ya afya imeshindwa kutatua mgogoro huu kwani wao ndio sehemu ya tatizo kwa hiyo ni wazi waziri mkuu anahusika kutatua mgogoro huu kwa sasa.jana ilionekana kama PM ataenda kuwasikiliza madaktari na kujaribu kutatua mgogoro huu.lakini hajafanya hivyo na badala anamtuma waziri wa afya kuongea na waandishi wa habari.tafsiri yangu ni kuwa bado serikali inaendeleza dharau kwa madaktari,bado serikali haijaona madhara ya mgomo huu.kwa nini PM hafanyi uamuzi sahihi wa kukutana na kuwasikiliza madaktari?je anasubiri vifo zaidi vya wapiga kura au anaona ni utani?au anasubiri wananchi waingie mabarabarani?
  Pinda kutana na madaktari!! Usisubiri maamuzi magumu ya wananchi.
   
 2. Bob Lee Swagger

  Bob Lee Swagger JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ndo kawaida yake kutafuta sympathy! porojo bila vitendo!
   
 3. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mwacheni aendelee kutafuta public sympathy through media huku mgomo ukiendelea kushika kasi nchi nzima.....later atalia kabisa.
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Hana cha kujibu mkulu kaenda Davos yeye atakachosema ni kuwa serikali imeliona jambo hili litafanyiwa kazi kwa mujibu wa sheria. Yaani huyu mtoto wa matajiri ni ajabu maana sio tena mtoto wa mkulima
   
 5. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Ni kama baba asiyeweza kuihudumia familia anavyowakwepa watoto
   
 6. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ninachopendea mgomo huu unasupport ya wananchi na govt imeshaona tatizo ndiyo maana haijibu. Napenda uendelee ili wananchi tuungane ili badala ya kudai madai haya sasa tufanye mapinduzi tumtoe huyu mkwe.re na serikali yake ya kishikaji.
   
 7. G

  Grayson Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Ameshajua kwamba kwa jinsi huu mgomo unavyoendelea utaisha wenyewe
   
 8. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hebu nikumbushe...Pinda ndio nini?
   
 9. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Yule jamaa anayejiita mtoto wa mkulima, mwenyewe anajifanyaga eti ni mkali kama sura yake ilivyo jaribu kuvuta kumbukumbu. Halafu ni mtu kulialia tu
   
 10. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Anafikiri madaktari wanabeeep ngoja aone cha moto wanafikiri mziki huu ndio utatutoa kwenye makucha ya ccm wananchi tuutumie vizuri kuingia tahiriri yetu mnazi mmoja naomba aendelee na mazalau yake hivyohivyo tupate pa kutokea .
   
 11. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280
  Kwasababu anajua watu wameshachoka porojo zake.
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Jamani nyinyi mnataka kumuonea bure huyu Mizengwe Pinda, mtu ambaye hakuwa na uwezo wa kumuwajibisha Luhanjo mpaka akampigia simu JK akiwa South Africa mnategemea kwenye hili afanye nini?
  Na msiniulize kama nchi hii ina makamo wa Rais kile kizee cha Kizanzibar pale ni kama kipo picnic kura raha tu na wake zake, hata kazi yake haijulikani ni nini!!
   
 13. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  anashindwa afanye nini maana hana uamuzi.huyu ni waziri mkuu ktk historia ya nchi yetu kuwa kibogoyo.kwa ufupi ni kama secretary wa JK.hana meno jamani anaogopa atawaambia nn madaktari.acheni mponda raha huko davos arudi ndo atoe maamuzi otherwise tunapoteza muda tu hapa
   
 14. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  hatuna mda,kinachotakiwa nimaamuzi!pinda wake up!
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wanasheria hebu watusaidie, watu wanakufa kwa sababu ya kukosa huduma wakati huu wa mgomo. Je wafiwa wanaweza kumshitaki waziri wa Afya au hata katibu mkuu wizara ya afya kwa kusababisha ukosefu wa matibabu?
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Hakuna jambo linalohitaji wanasheria hapo, kinachotakiwa ni asasi za kiraia kuandaa maandamano makubwa kupinga mauwaji haya yanayofanywa na serikali na ikiwezekana huyu jamaa abaki huko huko Davos aendelee kura kuku.
  Hivi Watanzania tunahitaji ishara ipi ili kujuwa kwamba nchi imeshafirisika? nukusi ya bajeti kwa December 2011 ilikuwa ni shilling Billioni 800, tunasubili nini kubadilisha serikali?
   
 17. k

  kiche JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ingekuwa ni mpira tungesema hilo (pinda) ni shati
   
 18. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huu mgomo umesababishwa na kiburi cha blandina nyoni. Haukupaswa kufikia hapa ulipofikia!
   
 19. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hawghasia ameshindwa sasa ni wakati muafaka kwa MP kukutana nao,madai yao yapo wazi na yanahitaji majibu ya wazi na sio tutashughulikia
   
 20. l

  lelo lelo New Member

  #20
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bosi yuko uswis anakula bata(jk),secretary wake (mp)hawez amua lolote kwa sasa...
   
Loading...