Duh, hapa naona umeingia choo cha kike...Swiss air hushusha zaidi ya 70 % ya Abiria Nairobi....inapofika Dar huwa tupu, na wakati inarudi hutoka almost tupu Dar na Kujaza abiria Nairobi kwenda nao Zurich
Kiswahili kimekua TZ miaka hii.Duh, hapa naona umeingia choo cha kike...
Kinacho takiwa kufanywa na na serikali ya CCM (kama wana akili na wakiacha wizi) ni kuboresha KIA iwe na hadhi ya kimataifa kweli. Suala eti kenya wakianza route za moja kwa moja kwenda US watazoa abiria wote hilo halina msingi kwani siyo US pekee inayo leta abiria TZ.
Tatizo ni mipangilio ya CCM na serikali yake ndo wana turudisha nyuma. Fikiria wanataka wajenge international airport bagamoyo! kweli pale bagamoyo kuna nini cha maana mpaka uweke international airport? Kwa nini wasipanue KIA au hata Arusha airport au uwanja wa songwe ukawa na hadi ya kimataifa?
Na hili linahusiana vipi na Uwanja wa KIA?Tanzania sio nchi maskini kupindukia ila tu ni ukosefu wa uongozi bora siasa zimezidi vitendo.
porojo nyingi za viongozi.
Tuna rasilimali nyingi ( madini,gesi,mito,maziwa,mbuga za wanyama,milima nk.)na nchi yetu ipo kwenye mojawapo ya maeneo maarufu yenye vivutio vikubwa na maarufu duniani kwa shuguli za utalii lakini ajabu tumeshindwa kutumia vitu vyote hivyo ili kuletea maendeleo tanzania.
Toka uhuru ni misaada tu mpaka tumelemaa kwakuwa watembeza bakuli la misaada,mwishowe wazungu wanatuita matonya .
Na hata misaada ikija inaishia mifukoni mwa kundi la watu fulani
Na hili linahusiana vipi na Uwanja wa KIA?
Najua fika kwamba alikunukuu, lakini sijaona nukuu yake kama imeweza kutoa jibu la mada yako juu ya CCM na KIA. KIA ni uwanja wa kimataifa na ulijengwa kama ni uwanja wa kimataifa.usidokoe, quote the two messages ndo italeta maana, huyu mkuu alikuwa najibu mchango wa mtu mwingine sasa wewe unadakia tu kipengele kimoja.....quote michango yote miwili ndo utajua alikuwa na maana gani. Acha uvivu wa kusoma.
usidokoe, quote the two messages ndo italeta maana, huyu mkuu alikuwa najibu mchango wa mtu mwingine sasa wewe unadakia tu kipengele kimoja.....quote michango yote miwili ndo utajua alikuwa na maana gani. Acha uvivu wa kusoma.