Kwa nini ni KLM tu inaua KIA?

Kinacho takiwa kufanywa na na serikali ya CCM (kama wana akili na wakiacha wizi) ni kuboresha KIA iwe na hadhi ya kimataifa kweli. Suala eti kenya wakianza route za moja kwa moja kwenda US watazoa abiria wote hilo halina msingi kwani siyo US pekee inayo leta abiria TZ.

Tatizo ni mipangilio ya CCM na serikali yake ndo wana turudisha nyuma. Fikiria wanataka wajenge international airport bagamoyo! kweli pale bagamoyo kuna nini cha maana mpaka uweke international airport? Kwa nini wasipanue KIA au hata Arusha airport au uwanja wa songwe ukawa na hadi ya kimataifa?
Kumbuka Precisionair (controlling over 60% ya local na regional routes) iko partner na Kenya Airways na kama hawa jamaa wanaenda direct US tutaula wa chuya maana ni rahisi kuunganishia nairobi rather than in Europe!
 
Back
Top Bottom