Kashi
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 897
- 742
Habari wana Jf? Nimekuwa nikisikia kwa muda mrefu sasa wahamiaji haramu kutoka Afrika Kaskazini hasa Libya wakizama katika bahari hii katika harakati za kuelekea Ulaya, mara nyingi taarifa zinazosikika ni za maafa ya kuzama kwa boti. Maswali kadhaa yamekuwa yakinisumbua kuhusu suala hili.
1.Je,ni kwamba wahamiaji hawa wanatumia vyombo hafifu sana kuvuka?
2. Mediterania ni bahari hatari sana kuvuka?
3.Mataifa ya Ulaya hushambulia vuombo hivi?
Tafadhali mwenye uelewa wa jambo hili nasubiria mchango wako.