Elections 2010 Kwa nini NGAMIA na siyo ng'ombe au mbuzi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kuna nini ????????????

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
444
19
Source: Gazeti Sem Usikike, tarehe 15.11.2010

Kwamba mafisadi walisherehekea kuanguka wa Mr 6 uspika kwa kuchinja ngamia dume. Je mnyama huyu anaambatana na makafara ya mizimu?????????????????????? tena imefanyika Bwagamoyo kwenye HQ ya mafundi (waganga wa kienyeji-washrikina)
 
source: Gazeti sem usikike, tarehe 15.11.2010

kwamba mafisadi walisherehekea kuanguka wa mr 6 uspika kwa kuchinja ngamia dume. Je mnyama huyu anaambatana na makafara ya mizimu?????????????????????? Tena imefanyika bwagamoyo kwenye hq ya mafundi (waganga wa kienyeji-washrikina)

danger!
 
Sisi tunamwamini Mwenyezi Mungu tu...tuachane na huo ushirikina kama maandiko matakatifu haya yasemavyo:-

Psalms 118:8 "It is better to trust in the Lord than to put confidence in man."
 
Source: Gazeti Sem Usikike, tarehe 15.11.2010

Kwamba mafisadi walisherehekea kuanguka wa Mr 6 uspika kwa kuchinja ngamia dume. Je mnyama huyu anaambatana na makafara ya mizimu?????????????????????? tena imefanyika Bwagamoyo kwenye HQ ya mafundi (waganga wa kienyeji-washrikina)

.
Duh! chenge nae alikuwepo??
 
Nilialikwa kimakosa,nyama sikula ila mtungi kama kawa!Jirani yangu alikuwa mzee wa........$
 
Hatesi mtesa akafululiza, wakati una maamuzi yake, na wakati ukifika, hakuna mtu wa kuurudisha nyuma! sisi hupenda tuuathiri wakati kwa maamuzi yetu, lakini kama wakati wa wakati bado, hatuwezi!!!!! nina uhakika, wakati utakapofika hawatakua na namna!!! Our greatest WISDOM is not to fall forever but to rise whenever We fall!!! so we shall one stand and face our foes with a common determination!!!! hata wakichinja nyangumi they cant change maamuzi ya wakati!!!!!!
 
Hatesi mtesa akafululiza, wakati una maamuzi yake, na wakati ukifika, hakuna mtu wa kuurudisha nyuma! sisi hupenda tuuathiri wakati kwa maamuzi yetu, lakini kama wakati wa wakati bado, hatuwezi!!!!! nina uhakika, wakati utakapofika hawatakua na namna!!! Our greatest WISDOM is not to fall forever but to rise whenever We fall!!! so we shall oneDAY stand and face our foes with a common determination!!!! hata wakichinja nyangumi they cant change maamuzi ya wakati!!!!!!
 
wenye taarifa zaidi ya hiyo sherehe tunaomba data na wahusika,I gues JK naye alikuwepo manake kwa kuamini nguvu za giza anatisha.
 
Source: Gazeti Sem Usikike, tarehe 15.11.2010

Kwamba mafisadi walisherehekea kuanguka wa Mr 6 uspika kwa kuchinja ngamia dume. Je mnyama huyu anaambatana na makafara ya mizimu?????????????????????? tena imefanyika Bwagamoyo kwenye HQ ya mafundi (waganga wa kienyeji-washrikina)

ishhh....kwa nini waliamua kufanya hivyo
watu wabaya sana hawa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom