kwa nini namba za simu ambazo hazijasakiliwa bado zinatumika?

Mantisa

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
322
236
ndugu wana JF, nakumbuka kipindi cha usajili wa namba za simu TCRA walitoa angalizo kwamba yeyote ambaye hatasajili namba yake ya simu ya mkononi, namba hiyo haitatumika tena mara baada ya muda kuisha lakini kinachonishangaza zaidi kumekuwa na matukio ya utapeli yanayofanywa katika Mikoa ya Dar na Arusha wakitumia namba ambazo hazijasajiliwa za mitandao ya vodacom na Airtel.

Kinachoniumiza kichwa ni kwa nini TCRA wasifanye kama walivyotuhaidi na kuzifanya namba hizi ambazo hazisajiliwa zisitumike au kuna utaalam wowote unaotumiwa na hawa matapeli kutumia namba ambazo ghazijsailiwa?
 
Back
Top Bottom