Kwa nini mwanamke akifumania hujilinganisha na hawara…….?

Khaa! Jamaani!
Natamani huu uzi auone Cka wangu!
Haniskilizi hata kidogo baada ya kugundua na.na.naa....
Ukweli nampenda yeye na tatizo lake MAFUTA HAYAPIMIKI!
Ningefanyaje sasa?

mkuu hebu nifafanulie maana ya hiyo sehemu niliyoibold imeniacha njia panda!!!
 
ila mkuu unafahamu kuwa inauma sana unapomfumania manzi wako on the bed yupo na jamaa analiwa maini zaidi ya yeye akikufumania unakula maini......!!!!???
hiki kizazi cha sasa ukiona mtu kapenda ujue kapenda kweli haijalishi jinsia na hebu futa usemi wako wa kujamiiana hakufanani na kupenda sio kweli mkuu.....................!!!!!!!!!
 
Kwa mwanamke kama hampendi mwanaume, kufanya naye mapenzi ni vigumu, labda tu kama amempendea fedha na anazihitaji sana ili kumaliza matatizo yake ya kifedha au anafanya biashara.
  • Kaazi kweli kweli, fedha = uroda
 
mada nzuri dah!! Mie nikimfumania mume wangu sitomuacha kwakweli.

mimi nlifumaniwa weeee na wife ila mwenyewe nimeacha na kuona ntamuuwa bule mtoto wa mwanaume mwenzangu, wanawake ni watu wema sana kwa kweri kuliko wanaume katika isue km hii ikitokea, kwa sababu mimi nilihisi tu palichimbika ndani
 
mimi nlifumaniwa weeee na wife ila mwenyewe nimeacha na kuona ntamuuwa bule mtoto wa mwanaume mwenzangu, wanawake ni watu wema sana kwa kweri kuliko wanaume katika isue km hii ikitokea, kwa sababu mimi nilihisi tu palichimbika ndani

ila na nyie mridhike basi na wake zenu.
 
Hivi kaka mkubwa vipi na wale wanaume wanaofumaniwa na mashoga?

Maana nimeshawahi kusikia cases kadhaa kama hizo kuwa mume wa mtu akutwa na shoga...
 
naona umeamua kujiachia hapa bestito Mtambuzi
SASA HILI SWALI JIULIZE WEWE KWA Mama Ngina mdogo

"Hivi ulimpendea nini yule mwanamke..? au " Ni kitu gani ulichokikosa kwangu mpaka ukakifuata kwa yule mwanamke…..?"
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke ni mdhaifu sana na hudanganyika kwa kitu kidogo na kuacha kitu muhimu. Mwanaume anaweza kua na nyumba ndogo (kimada) ila bado akatunza familia yake na kumpenda mke wake kama kawaida, ila mwanamke akionyeshwa pesa tu hapo mume wake/mpenzi ndo anakua takataka, wengi ndo huondoka na mabegi yao kuhamia kwa "mpenzi" mpya...do not trust a woman...
Men are so selfish..
 
Natamani sana
Na kumuomba Mungu anipe maisha Marefu,,

Kupitia Jf naamini Ntajifunza Mengi sana
 

wanaume wana makubwa
haijulikani wanataka nini kwny uso wa dunia
wanafikia kuoana wao kwa wao,nako ni kufanyaje?
siwaelewei elewi hawa binadamu mie!!mh!!mitamaa tu!!
 
Back
Top Bottom