warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,380
Shikamoo brother mwana fa??,naamini u mzima wa afya,wewe ni mwanamziki mkongwe tena msomi,hongera sana,kwani umeonyesha nia ya kutaka kujikomboa kimaisha,wewe ni kati ya wasanii classic apa bongo,hilo sina ubishi nalo,ila kwa hili kaka umejiaibisha na umenivunja moyo kijana kama mimi mwenye ndoto za kufikia level zako,kaka imekuwaje umemgeuka mwanamuzik mwenzio tena ambaye mlikuwa mnashirikiana kwenye nyimbo kadhaa na kufanya vizuri??,kweli kaka unamgeuka jide kwa sababu ya ClOUDS FM??,wale ni binadamu na binadamu siku zote wanabadilika,wala usitegemee kuwa wanakupenda bali wanakutumia kwa manufaa yao binafsi,usikubali kutumika bro,kwa level uliyofikia hupaswi kuwa mtumwa,elimu yako inafanya kazi gami??,hayo mabo waachie kina ALLY NIPISHE ambao ndo kwanza wanaanza game,bado hawajaanza kujitambua na kuweza kusimama wenyewe wanahitaji support hawawezi kuleta jeuli CLOUDS FM,inakuwaje kwako??,ina maana bado hujitambui kaka??,kila kona watu wanakunyooshea mkono unaitwa MWANAFATUMA,mara TOILET PAPER,kwa nini unakiwa ivi??,badililika bro,Ni bora ungenyamaza kimya ila unathubutu kumsema vibaya JIDE kuwa kafulia??,hajui kuimba??,kweli kaka??,ilikuwaje ukaamua kumshirikisha kwenye nyimbo zako kama ALIKUFA KWA NGOMA,HAWAJUI na MSIACHE KUONGEA,leo hii unamgeuka na kumkashfu??,ni bora ungeuacha ugomvi wa JIDE NA CLOUDS FM,kwani hawa ni WAFANYABIASHARA WAKUBWA,wewe unatumika kama TOILET PAPER,wewe unagombania nini??,kaa chini tafakari kwa umakini,nadhani utakuwa umeteleza kaka,jaribu kujirekebisha..