Kwa nini mwana fa unashindana na jide???

Status
Not open for further replies.

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,375
Shikamoo brother mwana fa??,naamini u mzima wa afya,wewe ni mwanamziki mkongwe tena msomi,hongera sana,kwani umeonyesha nia ya kutaka kujikomboa kimaisha,wewe ni kati ya wasanii classic apa bongo,hilo sina ubishi nalo,ila kwa hili kaka umejiaibisha na umenivunja moyo kijana kama mimi mwenye ndoto za kufikia level zako,kaka imekuwaje umemgeuka mwanamuzik mwenzio tena ambaye mlikuwa mnashirikiana kwenye nyimbo kadhaa na kufanya vizuri??,kweli kaka unamgeuka jide kwa sababu ya ClOUDS FM??,wale ni binadamu na binadamu siku zote wanabadilika,wala usitegemee kuwa wanakupenda bali wanakutumia kwa manufaa yao binafsi,usikubali kutumika bro,kwa level uliyofikia hupaswi kuwa mtumwa,elimu yako inafanya kazi gami??,hayo mabo waachie kina ALLY NIPISHE ambao ndo kwanza wanaanza game,bado hawajaanza kujitambua na kuweza kusimama wenyewe wanahitaji support hawawezi kuleta jeuli CLOUDS FM,inakuwaje kwako??,ina maana bado hujitambui kaka??,kila kona watu wanakunyooshea mkono unaitwa MWANAFATUMA,mara TOILET PAPER,kwa nini unakiwa ivi??,badililika bro,Ni bora ungenyamaza kimya ila unathubutu kumsema vibaya JIDE kuwa kafulia??,hajui kuimba??,kweli kaka??,ilikuwaje ukaamua kumshirikisha kwenye nyimbo zako kama ALIKUFA KWA NGOMA,HAWAJUI na MSIACHE KUONGEA,leo hii unamgeuka na kumkashfu??,ni bora ungeuacha ugomvi wa JIDE NA CLOUDS FM,kwani hawa ni WAFANYABIASHARA WAKUBWA,wewe unatumika kama TOILET PAPER,wewe unagombania nini??,kaa chini tafakari kwa umakini,nadhani utakuwa umeteleza kaka,jaribu kujirekebisha..
 
Hivi nani ameanza kumtukana mwenzake kati ya FA na JIDE?

Anatemalizia siku zote ndo anaonekana mkorofi,mpaka jide kaamua kumkashfu fa kuwa ni mwanafatuma basi ujue kuna chanzo kaka,mm simtetei jide wala clouds ila namuonea huruma mwana fa kutumiwa kama toilet paper na clouds kwa mambo ambayo hayamuhusu
 
Message sent!

Kumbe Snura na kawimbo ka Majanga alikuwa na akili eeeh!! . . . . . . 'Show wanafanya wao, Tarehe wamepanga wao, Pesa wanapata wenyewe. . . . . MATUSI TWATUKANANA SISI, Majanga ooh Majanga'. . . . . . .
 
mwanaFatuma ndio alikuwa bestman wa Gadna siku ya harusi ya AnacondaJide na gadna ....uyu mtu ni mbaya sana muulize Gk, hermyB na Sugu ni zaidi ya nyoka msaliti
 
tupa kule mwanafatuma afai alilelewa na gk pale upanga baada ya kukaribia mafanikio kidogo akaama na kumjaza gk lawama kibao.
 
Kumbe Snura na kawimbo ka Majanga alikuwa na akili eeeh!! . . . . . . 'Show wanafanya wao, Tarehe wamepanga wao, Pesa wanapata wenyewe. . . . . MATUSI TWATUKANANA SISI, Majanga ooh Majanga'. . . . . . .

Ambao wameona hayawahusu wamepita kimya kimya bila ku comment,sijui wewe umewashwa nn???
 
Shikamoo brother mwana fa??,naamini u mzima wa afya,wewe ni mwanamziki mkongwe tena msomi,hongera sana,kwani umeonyesha nia ya kutaka kujikomboa kimaisha,wewe ni kati ya wasanii classic apa bongo,hilo sina ubishi nalo,ila kwa hili kaka umejiaibisha na umenivunja moyo kijana kama mimi mwenye ndoto za kufikia level zako,kaka imekuwaje umemgeuka mwanamuzik mwenzio tena ambaye mlikuwa mnashirikiana kwenye nyimbo kadhaa na kufanya vizuri??,kweli kaka unamgeuka jide kwa sababu ya ClOUDS FM??,wale ni binadamu na binadamu siku zote wanabadilika,wala usitegemee kuwa wanakupenda bali wanakutumia kwa manufaa yao binafsi,usikubali kutumika bro,kwa level uliyofikia hupaswi kuwa mtumwa,elimu yako inafanya kazi gami??,hayo mabo waachie kina ALLY NIPISHE ambao ndo kwanza wanaanza game,bado hawajaanza kujitambua na kuweza kusimama wenyewe wanahitaji support hawawezi kuleta jeuli CLOUDS FM,inakuwaje kwako??,ina maana bado hujitambui kaka??,kila kona watu wanakunyooshea mkono unaitwa MWANAFATUMA,mara TOILET PAPER,kwa nini unakiwa ivi??,badililika bro,Ni bora ungenyamaza kimya ila unathubutu kumsema vibaya JIDE kuwa kafulia??,hajui kuimba??,kweli kaka??,ilikuwaje ukaamua kumshirikisha kwenye nyimbo zako kama ALIKUFA KWA NGOMA,HAWAJUI na MSIACHE KUONGEA,leo hii unamgeuka na kumkashfu??,ni bora ungeuacha ugomvi wa JIDE NA CLOUDS FM,kwani hawa ni WAFANYABIASHARA WAKUBWA,wewe unatumika kama TOILET PAPER,wewe unagombania nini??,kaa chini tafakari kwa umakini,nadhani utakuwa umeteleza kaka,jaribu kujirekebisha..
Uandishi mbovu kabisa huu, hata kama thread ingekuwa na point kiasi gani ni useless unatuumiza macho tu, sisomi jifunze kuandika kwa paragraph.
 
mwanaFatuma ndio alikuwa bestman wa Gadna siku ya harusi ya AnacondaJide na gadna ....uyu mtu ni mbaya sana muulize Gk, hermyB na Sugu ni zaidi ya nyoka msaliti

hapana bestman alikuwa dj venture na si mwana fa!!
 
Anatemalizia siku zote ndo anaonekana mkorofi,mpaka jide kaamua kumkashfu fa kuwa ni mwanafatuma basi ujue kuna chanzo kaka,mm simtetei jide wala clouds ila namuonea huruma mwana fa kutumiwa kama toilet paper na clouds kwa mambo ambayo hayamuhusu

mwana Fa katumiwa na nani tena?na kwanini jd amwite mwenzake mwanafatuma?
 
mwanaFatuma ndio alikuwa bestman wa Gadna siku ya harusi ya AnacondaJide na gadna ....uyu mtu ni mbaya sana muulize Gk, hermyB na Sugu ni zaidi ya nyoka msaliti

Huyu alikua rafiki mkubwa wa SUGU. kuna siku alimlalamikia eti hakumshirikisha alipotaka kugombea Sugu akamjibu "nlifanya hivyo baada ya kuona wewe ni msaliti".
Kila video alikua anamuomba jide akampe support na jide alifanya hivyo lakini leo FA anamgeuka mwenzie!. picha za harusi za jide azichome basi. mia
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom