figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
Heshima yenu wakuu.
mimi nmejaribu kujiuliza baadhi ya mambo yananichanganya lakini bado yanaendekezwa.
ukiangalia noti mpya zilizotoka zimeharibu historia ya Tanzania.hizo noti zinasomeka kutoka kulia kwenda kushoto wakati sisi watanzania tunasoma kutoka kushoto kwenda kulia.ukitaka kugundua hilo usiangalie maandishi.jaribu kusoma picha ndo utagundua kama tumeingiliwa.hapa mimi sijagusia udini.naomba mawazo yenu.
nawasilisha.
mia