Kwa nini Mpesa hawajaweka sytem ya kuweza kulipia kwenye app za google play?

mpesa wana huduma ya mastercard muda mrefu tu
Hii inafanya kazi lakini watu wengi hawapendi kuitumia hii. Na pia kuna baadhi ya huduma kama subscription google wanakataa virtual card. Wangeruhusu mpesa moja kwa moja ingekuwa mtelezo sana.
 
Nimecheki nimeona wenzetu Kenya, safaricom wanaruhusu hili jambo, tena muda mrefu sana. Hii inarahisisha sana malipo. Si kila mtu ana mastercard au visa card.

Kwanini Mpesa na wenzake hawaliangalii hili?
Wote mpesa na Tigopesa Wanayo hii huduma ama at least walikuwa Wana trial. Sema haileweki kabisa, Mara ina tokea Mara inapotea Mara Kuna kuwa na menu ya kujiunga Mara inakataa etc.

Mfano kwangu sasa hivi tigopesa ipo
Screenshot_20210621-135213.png
 
Wote mpesa na Tigopesa Wanayo hii huduma ama at least walikuwa Wana trial. Sema haileweki kabisa, Mara ina tokea Mara inapotea Mara Kuna kuwa na menu ya kujiunga Mara inakataa etc.

Mfano kwangu sasa hivi tigopesa ipo
View attachment 1825405
Dah, afadhali. Watakuwa wanaifanyia kazi. Hii system itarahisisha sana. Maana google wametangaza kuwa kuanzia mwezi september malipo ya app za playstore lazima yapitie kwenye system yao.
 
Ukiachana na Mastercard Voda wanakuruhusu kulipia Playstore kwa kutumia salio la kawaida (hii njia sio nzuri kabisa).

Ila Aritel ndio wanatumia Airtel Money kwenye Google Playstore directly. Ndio nnayo tumia mimi
Kuna Tigopesa pia. Ya Voda ndio ya kijinga sababu inakuataka uweke salio kwenye line na sio Mpesa directly.
Screenshot_20210621-215912.jpg
 
Wote mpesa na Tigopesa Wanayo hii huduma ama at least walikuwa Wana trial. Sema haileweki kabisa, Mara ina tokea Mara inapotea Mara Kuna kuwa na menu ya kujiunga Mara inakataa etc.

Mfano kwangu sasa hivi tigopesa ipo
View attachment 1825405
Nilishawahi lipiaga kwa Tigopesa mwaka jana ila mwaka huu kwenye ku renew subscription ikakataa! Ikabidi nitumie M-Pesa MasterCard ambayo Kuna makato ya kipuuzi sikuyajua!
 
Ukiachana na Mastercard Voda wanakuruhusu kulipia Playstore kwa kutumia salio la kawaida (hii njia sio nzuri kabisa).

Ila Aritel ndio wanatumia Airtel Money kwenye Google Playstore directly. Ndio nnayo tumia mimi
Kuna Tigopesa pia. Ya Voda ndio ya kijinga sababu inakuataka uweke salio kwenye line na sio Mpesa directly.
View attachment 1825873
Umekuwa unatumia kwa muda gani nihamie wasije kuwa kama Tigo leo wapo kesho inagoma?
 
Hii inafanya kazi lakini watu wengi hawapendi kuitumia hii. Na pia kuna baadhi ya huduma kama subscription google wanakataa virtual card. Wangeruhusu mpesa moja kwa moja ingekuwa mtelezo sana.
Google wana-accept MPESA MASTERCARD, mimi tangu mwaka jana hadi sasa natumia mpesa MasterCard kulipia Apps za Google.
 
Nilishawahi lipiaga kwa Tigopesa mwaka jana ila mwaka huu kwenye ku renew subscription ikakataa! Ikabidi nitumie M-Pesa MasterCard ambayo Kuna makato ya kipuuzi sikuyajua!
Asilimia 4 wanakata mpesa mastercard
 
Ukiachana na Mastercard Voda wanakuruhusu kulipia Playstore kwa kutumia salio la kawaida (hii njia sio nzuri kabisa).

Ila Aritel ndio wanatumia Airtel Money kwenye Google Playstore directly. Ndio nnayo tumia mimi
Kuna Tigopesa pia. Ya Voda ndio ya kijinga sababu inakuataka uweke salio kwenye line na sio Mpesa directly.
View attachment 1825873
Voda wana hii option ya kulipia kutumia salio. Inasumbua sana japo Google wanaitambua. Wanamasharti kwamba kama simu inatumia laini mbili inabidi ile nyingine uifunge. Siyo rafiki sana.
 
Mm natumia ya Airtel tu maana ni Airtel Money directly. Pia Mpesa Mastercard kuna baadhi ya sehem inakataliwa sababu zipo registered kma Virtual Cards na sio Debit Card halisi kma Airtel Money Mastercard. Kwa mfano huwezi tumia Mpesa Mastercard kulipia Google Play Developer account lakini ya Airtel unaweza.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom