Kwa nini mmeweka form yangu ya maombi ya SENSA kwenye RECYCLE BIN?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini mmeweka form yangu ya maombi ya SENSA kwenye RECYCLE BIN??

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Wild fauna, Aug 6, 2012.

 1. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ama kweli,leo nimekubali ile kauli mbiu inayosema WEWE UNAMJUA NANI? NA SIO WEWE UNA QUALIFICATION GAN?
  Pamoja na bachelor yangu nimeangukia pua kwenye kazi ya muda ya sensa.ILA HAKUNA MBAYA KWANI KINACHONIUMIZA NAAMINI KINANIKOMAZA KIJESHI,nimlilie nani wakati hakuna anayenijali?,HII NDO
  SAUTI YA MPWEKE NYIKANI
   
 2. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Una bachelor ya nini ndugu, na unafanya nini kuendesha maisha yako kwa sasa?
   
 3. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,428
  Likes Received: 609
  Trophy Points: 280
  Pole mkuu mungu yupo atakusaidia katika njia nyingine
   
 4. m

  markj JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Mkuu usijali! Tuungane september! Tunajitupia jeshini, nafasi za professional zinatoka! Kule hata kama unamjua nani ila na wewe ujijue la sivyo chali! Twende tukajipange kuwaoa malawi na madam wao.
   
 5. Kankwale

  Kankwale Senior Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  usilalamike mabadiliko yako mkononi mwako.Cc ambao hatuna bachelor tutafanyaje?
   
 6. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu pole,kata gani?halafu kuna baadh ya kata wale ambao majina yao hayajatoka waliambiwa wapeleke vyeti kama kawe,tabata.
   
 7. K

  Keagan Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah nlifkiri mie peke yangu kumbe wengi..mie nimeenda nkakuta maafisa wanajipongeza ndugu zao wametokea kwny list..mie nkaondoka taratibuu kiunyonge huku siamini!!
   
 8. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mkuu prakatatumba ni huku arusha wilaya ya arumeru.
   
 9. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Pole sana mkuu. Hiyo ndo technology know WHO na si technology know HOW
   
 10. didii

  didii Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  pole sana,tuko pamoja mimi nimemwagwa pamoja na degree yangu ya statistics,ucjali ipo siku utapata mungu yupo!
   
 11. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hivi mlitegemea kila mtu apate jamani! Walioomba ni wengi sana, kama umekosa shukuru mungu na angalia channels zingne
   
 12. Y

  Yasini_J New Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Usiumie sana, walitimiza wajibu wa kisheria tu kuutangazia umma nafasi za wajinga wenzao. Tangu awali ilifahaamika kuwa kazi hizi walishajigawia wenyewe
   
 13. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kilichokuwa kinatakiwa sio Bachelor, wewe ukapeleka Bachelor.
   
 14. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Utaratibu wa huko sijui ila hzo kata nilizokutajia waliokosa walikuwa wanaulizi imekuaje then wakaambiwa walete vyeti vyao
   
 15. j

  jumaa24 Member

  #15
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  majina yamebandikwa leo asubuhi na tangazo lilikuwepo kama majina yatabandikwa j3, unaenda unakuta jina unaulizwa unaambiwa umechelewa majina yalibandikwa j2 na usahili ushafanyika j3 asubuhi!! Nimeenda saa 3 jiuliza wamefanya saa ngapi
   
 16. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,978
  Likes Received: 6,621
  Trophy Points: 280
  habari yako? mia
   
 17. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  natafuta undugu hata wa kuunga ngudi kwa vizito ili nitoke wallah.wamechukua form 4 na 6 lukuki bachelor wa kuhesabu labda ndio.....
   
 18. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kwanza aliongea vibaya sana.....eti mimi na Bachelor yangu nikikosa na wa Form 4 apate itawezekana? imewezekana sasa!! Kula hiyo Bachelor yako....kila kitu ni kumtanguliza Mungu na sio Elimu yako!!
   
 19. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Bush fisi ooppss "Bushbaby" GOD always bless knowlegle not ignorance,acha upimbi.
   
 20. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hivi wanalipa sh ngapi naona wasomi wetu wengi na digrii zenu mnakimbilia huko wakati zilikuwa ni nafasi za tichazi
   
Loading...