Jestina JF-Expert Member Jan 6, 2011 4,831 1,707 Oct 4, 2011 #1 lazima awe mdogo mdogo hivi.... mume upishane nae umri(awe mkubwa)... nini logic behind ?lol
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,189 Oct 4, 2011 #2 Ni vizuri kupishana maana wanawake tunawahi kuzeeka
Jestina JF-Expert Member Jan 6, 2011 4,831 1,707 Oct 4, 2011 Thread starter #3 nimeitoa picha facebook nadhani ni mchezaji wa kikapu NBA goes by the name O' neil?????
U uporoto01 JF-Expert Member May 23, 2008 4,700 1,415 Oct 4, 2011 #4 Huyu dada akilewa unaweka begani na kwenda nae home.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Apr 22, 2011 10,707 5,664 Oct 4, 2011 #5 Husninyo said: Ni vizuri kupishana maana wanawake tunawahi kuzeeka Click to expand... Kumbeee.......!
Husninyo said: Ni vizuri kupishana maana wanawake tunawahi kuzeeka Click to expand... Kumbeee.......!
feis buku JF-Expert Member Aug 29, 2011 2,342 676 Oct 5, 2011 #6 uporoto01 said: huyu dada akilewa unaweka begani na kwenda nae home. Click to expand... ndipo akili ilipo!
uporoto01 said: huyu dada akilewa unaweka begani na kwenda nae home. Click to expand... ndipo akili ilipo!
Jestina JF-Expert Member Jan 6, 2011 4,831 1,707 Oct 5, 2011 Thread starter #7 Husninyo said: Ni vizuri kupishana maana wanawake tunawahi kuzeeka Click to expand... hivi ni kweli tunawahi kuzeeka au ni imani tu?
Husninyo said: Ni vizuri kupishana maana wanawake tunawahi kuzeeka Click to expand... hivi ni kweli tunawahi kuzeeka au ni imani tu?
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,189 Oct 5, 2011 #8 monique said: hivi ni kweli tunawahi kuzeeka au ni imani tu? Click to expand... tunawahi bwana, tena ukijiachia sana ndio utaonekana lijibibi kabla ya umri.
monique said: hivi ni kweli tunawahi kuzeeka au ni imani tu? Click to expand... tunawahi bwana, tena ukijiachia sana ndio utaonekana lijibibi kabla ya umri.