Nadharia kuhusu chanzo na maana ya heshima ya kijeshi ya Mizinga 21

Yaani nilitaraji nami kujua ila hakuna anayejua ngoja nimtafute mkuu wa majeshi.
 
Hi JF Members!

Wakuu naomba kufahamu kwa nini viongozi wa kitaifa hasa marais huwa wanapigiwa mizinga 21 na si zaidi au chini ya 21.

Kuna siri gani katika hiyo no 21?

Kwa anayejua plz? cc mshana jr

Mwisho wa mwezi ili watu wakapokee mshahara
 
DUDUS nawe fupisha bana meseji yote hiyo mi sielewi maana swali limeulizwa kwa kiswahili we unaweka mbwembwe.....nisaidie
 
Hi JF Members!

Wakuu naomba kufahamu kwa nini viongozi wa kitaifa hasa marais huwa wanapigiwa mizinga 21 na si zaidi au chini ya 21.

Kuna siri gani katika hiyo no 21?

Kwa anayejua plz? cc mshana jr

dudus majibu kwa umahiri mkubwa
 
Last edited by a moderator:
Nimekuwa naona au kusikia mkuu wa nchi kupigiwa mizinga 21 why 21 na sio namba nyingine. Nimeuliza cha ajabu hata askari wengi tu hawajui origin yake. Nisaidieni wadau kwa anayeelewa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom