Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mambo ya formality sio?Mambo tu ya kijinga waliyojipangia binadamu ni kama vile watu
wenye akili timamu na ndevu zao kukimbiza moto (mwenge)
kusimama inapopandishwa nguo inayoitwa bendera n.k
Hata waziri mkuu wa Israel na Uingereza?Wanajamvi mara nyingi nimeona maraisi wanapofika Nchi fulani ama nchini mwao kwenye matukio maalumu hupigiwa mizinga 21 ya kijeshi.
Je, ni Kwanini iwe 21???
Kuna jambo gani katika hiyo namba???
Kadharika na mawaziri wakuu ni mizinga 19.
Tafadhari mwenye kuyajua haya na atujuze.
salaam Jf
Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia ama kusikia kupigwa kwa mizinga 21 kwa Mkuu wa nchi katika sherehe za kitaifa ama wakati Mkuu wa nchi nyingine anapozuru nchi mwenyeji, vilevile kwanini majenerali kuanzia Brigedia jenerali wanapigiwa mizinga 11, Meja jenerali wanapigiwa mizinga 13, Luteni jenerali wanapigiwa mizinga 15 na Jenerali anapigiwa mizinga 17 wakati wa kuagwa baada ya kustaafu ama wakati wa kuzikwa kwao wanapofariki dunia. Nini maana na asili ya mizinga ya kijeshi kwa wakubwa hao? wajuvi wa mambo hebu wekeni mubashara
Hata waziri mkuu wa Israel na Uingereza?
NdioHata waziri mkuu wa Israel na Uingereza?
Ewe nae ujui???Kazi ipo subiria comments kadhaa majibu utayapata