Kwa nini misiba ya siku hizi hasa ya wakristo ni kama sherehe tu !?

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Messages
2,780
Points
2,000

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined May 28, 2017
2,780 2,000
Wasalaam waungwana

Miaka ya nyuma suala la msiba lilikua ni la kuhuzunisha sana yani nyumba ya wafiwa inagubikwa na vilio,simanzi na masikitiko

Majirani na watu wengine wanawafariji wafiwa,huku mchango ukipita ili kuandaa chochote kitu kwa ajili ya waliohudhuria mazishini

Kaburi linachimbwa jeneza linaletwa linafukiwa udongoni na kuhitimisha Yale maandiko ya kuwa tumetoka udongoni na udongoni tutarejea

Baada ya maziko watu wanarudi nyumbani maisha yanaendelea

Ila siku hizi msiba umekua sherehe unakodiwa muziki mnene zitapigwa nyimbo za kila aina ,bia zitanyweka na mavyakula ya kila aina yataliwa

Wafiwa nao wanalia kidogo tu baada ya hapo wanapata nguvu ya kupiga selfie na kutupiwa mtandao huku wakijifanya kuwa na huzuni kuu

Kaburi litachimbwa udongo utatupwa huko ,sasa malumalu inashika hatamu ,kaburi linapambwa jeneza linaingizwa juu linafuata zege la bei mbaya habari imekwisha

Sasa cha ajabu wakati marehemu anaumwa aliteseka sana kwa kukosa hela ya matibabu Leo amekufa hana thamani tena basi anagharamiwa na kufanyiwa sherehe baada ya yeye kufa

Je hali hii inasababishwa na utandawazi,kuiga tamaduni za nje au roho mbaya tu waliyo nayo watu hadi suala la huzuni kwao halipo!???
 
SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
6,252
Points
2,000

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
6,252 2,000
Zamani vifo vilikuwa vichache ndiyo maana walikuwa wanahuzunika mno, ila kwasasa vifo ni kila siku hadi watu wameshavichukulia poa sana.
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
39,333
Points
2,000

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
39,333 2,000
Dunia imekuwa kijiji kidogo kutokana na tekinolojia. Tunaiga tamaduni za watu. Leo hii mama yako akifa unafikiria sare ya kina mama wakati wa mazishi.

Ghana mtu mzima akifa lazima familia ionyeshe thamani ya maisha ya marehemu. Watu watakula na kunywa na kucheza mziki kwa wiki nzima.

Kama huyo mtu alikuwa tajiri, mali zake zitafanyia sherehe. Kama alikuwa apeche alolo, watoto wataweka mwili mortuary wakatafute pesa.
 
DsmicSound

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Messages
1,328
Points
2,000

DsmicSound

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2015
1,328 2,000
Wasalaam waungwana

Miaka ya nyuma suala la msiba lilikua ni la kuhuzunisha sana yani nyumba ya wafiwa inagubikwa na vilio,simanzi na masikitiko

Majirani na watu wengine wanawafariji wafiwa,huku mchango ukipita ili kuandaa chochote kitu kwa ajili ya waliohudhuria mazishini

Kaburi linachimbwa jeneza linaletwa linafukiwa udongoni na kuhitimisha Yale maandiko ya kuwa tumetoka udongoni na udongoni tutarejea

Baada ya maziko watu wanarudi nyumbani maisha yanaendelea

Ila siku hizi msiba umekua sherehe unakodiwa muziki mnene zitapigwa nyimbo za kila aina ,bia zitanyweka na mavyakula ya kila aina yataliwa

Wafiwa nao wanalia kidogo tu baada ya hapo wanapata nguvu ya kupiga selfie na kutupiwa mtandao huku wakijifanya kuwa na huzuni kuu

Kaburi litachimbwa udongo utatupwa huko ,sasa malumalu inashika hatamu ,kaburi linapambwa jeneza linaingizwa juu linafuata zege la bei mbaya habari imekwisha

Sasa cha ajabu wakati marehemu anaumwa aliteseka sana kwa kukosa hela ya matibabu Leo amekufa hana thamani tena basi anagharamiwa na kufanyiwa sherehe baada ya yeye kufa

Je hali hii inasababishwa na utandawazi,kuiga tamaduni za nje au roho mbaya tu waliyo nayo watu hadi suala la huzuni kwao halipo!???
SASA HAPO NDIPO UTAKUJA KUELEWA UKRISTU HUU SIO DINI ILE ALIYOIACHA YESU...

MAANA MNAYOYAFANYA NI TOFAUTI NA VILE ALIVYOFUNDISHA YESU...

NA HAO MNAOWAITA VIONGOZI WA DINI WANAOKUJA KUONGOZA IBADA...WANAYAONA MAOVU HAYO NA HAWAKEMEI...WANACHEKEA TU NA WAO...
 
ibraton

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Messages
343
Points
250

ibraton

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2011
343 250
Wasalaam waungwana

Miaka ya nyuma suala la msiba lilikua ni la kuhuzunisha sana yani nyumba ya wafiwa inagubikwa na vilio,simanzi na masikitiko

Majirani na watu wengine wanawafariji wafiwa,huku mchango ukipita ili kuandaa chochote kitu kwa ajili ya waliohudhuria mazishini

Kaburi linachimbwa jeneza linaletwa linafukiwa udongoni na kuhitimisha Yale maandiko ya kuwa tumetoka udongoni na udongoni tutarejea

Baada ya maziko watu wanarudi nyumbani maisha yanaendelea

Ila siku hizi msiba umekua sherehe unakodiwa muziki mnene zitapigwa nyimbo za kila aina ,bia zitanyweka na mavyakula ya kila aina yataliwa

Wafiwa nao wanalia kidogo tu baada ya hapo wanapata nguvu ya kupiga selfie na kutupiwa mtandao huku wakijifanya kuwa na huzuni kuu

Kaburi litachimbwa udongo utatupwa huko ,sasa malumalu inashika hatamu ,kaburi linapambwa jeneza linaingizwa juu linafuata zege la bei mbaya habari imekwisha

Sasa cha ajabu wakati marehemu anaumwa aliteseka sana kwa kukosa hela ya matibabu Leo amekufa hana thamani tena basi anagharamiwa na kufanyiwa sherehe baada ya yeye kufa

Je hali hii inasababishwa na utandawazi,kuiga tamaduni za nje au roho mbaya tu waliyo nayo watu hadi suala la huzuni kwao halipo!???
sikuizi tunafuraia maisha yako ya mwisho ukifa bulaza hadi leo kama hujui kama kila mtu atakufa unahuzunika nini sasa wakat wewe mwenyewe upo kwenye mstari....................sikuizi hakuna kulia tunashereke maisha yako ya mwishi ndio kauli mbiu yetu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Che mittoga

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2017
Messages
4,080
Points
2,000

Che mittoga

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2017
4,080 2,000
Kwa sababu kuishi kwetu ni Kristo na kufa ni faida
Yes, Madame
Kwa Mkriso, kuishi ni Kristo na kufa ni Faida.
Hivyo basi Mkristo akifa ananza maisha mapya mazuri zaidi ya zamani.
Hivyo basi huzuni inageuka furaha isipokuwa kwa familiya ya Kimwili iliyoondokewa na nguvukazi.
 
Nkanini

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
1,717
Points
2,000

Nkanini

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
1,717 2,000
unapokufa ,watu wanasheherekea maisha yako,sio siku ya huzuni ndio maana wakati ungali hai wekeza mno kwenye utu,heshima,kwa wenzako hata kama unapata mafanikio ya kimaisha elewa utaondoka bila kitu hapa duniani,be grounded na show off its a NO NO.
 
Forum statistics

Threads 1,364,383
Members 520,731
Posts 33,314,271
Top