Elections 2010 Kwa nini mikoa inayoikumbatia CCM ndiyo maskini zaidi?

Wakuu... hebu mara nyingine tuw tunatafakari kabla ya kupost baadhi ya hoja...

The general statement given haina mantiki yoyote ya kujadili, Dar, Arusha, Mwanza, Mbeya have been CCM stronghold kwa miaka mingi... je ni maskini? kwa kuangalia upande wa zanzibar, Pemba iko na wapinzani zaidi, je ni matajiri??

Na ni kipimo gani cha umaskini tunatumia, cha mkoa kwa ujumla au mtu na mtu??

Hakuna cha kujadili unless mtoa mada anaweza kutupa indicators alizotumia na pia kufanya thorough analysis

Acid
 
Daraja ilibidi lijengwe kwa sababu walijua kuna mafuta yameonakana kusini. Makampuni ya Wazungu ambayo yanafanya kazi mikoa ya kusini ndiyo yalitaka daraja lijengwe ili kuwarahisishia kama mafuta yakianza kutoka.

Wewe bwana kama huna data tafadhali usiandike kitu. Hivi hayo mafuta yamehisiwa kuwepo lini? Na unajua mipango ya kujenga daraja ilianza mwaka gani. Nani alikuambia Nyerere aliwachukia waislam? Aliyekutia hii sumu kichwani mwako ilikupatia sana!!
 
Ejama eh, naelewa ni uchaguzi season but some of the comments here are downright flawed, big time! First of, is Mtwara poor? It is ironic that one of the wealth of Mtwara, korosho, made a certain MP of Singida and his family quite rich!. Companies such as Mohammed Enterprises and Export Trading were responsible for the downfall of one of the most profitable governmental parastatal, GAPEX.

Secondly, these mentioned regions may have suffered due to the absence of cash crops, natural resources and/or mineral deposits. The so called rich regions had a major cash crop, which led to the presence of major cooperative unions, which in turn led to access to funds to send their children to schools. Kilimanjaro, Kagera, Mbeya had coffee, Mwanza, Shinyanga, Mara had cotton, Morogoro, Tanga and surprisingly Singida had sisal. These regions also had well-managed cooperative unions, good education systems that got educated people to work for the colonizers and later cooperative unions - kwani huoni wa akina Mengi, Mwandosya, Tibaijuka, Wasira, Mwapachu, Rutihinda, Rugunyamuheto, Masilingi, Magufuli, Mwakyusa etc wametokea wapi?

The case of Tabora is also the same. Until very much later the existence of beeswax as an export crop was not feasible. Honey and beeswax has recently come into the open but only a few people are taking advantage of this - eti wanasema Rage ni mmojawapo wa wafanyabiashara wanao fanya vizuri sana na biashara hii, lakini wapo wengine pia.

Furthermore, until the first multiparty elections of 1995 (correct me if I am wrong) and given the above reasons for back up, many people in Tanzania knew nothing about new political parties other than CCM and its predecessor, TANU (kwa wale wazee waliokula chumvi nyingi). Inawezekana pia ilikuwa ni swala la kuchagua "jini ulijualo kuliko jini usilolijua". Vilevile, ukweli ni kwamba until uchaguzi wa 2005 na huu wa sasa kumetokea vyama vina uwezo wa kusafiri kwenda kupiga kampeni mikoa yote, na kampeni zote zimesaidiwa na utitiri wa redio, luninga na simu za mkononi.

Binafsi sioni kwamba eti ni CCM, au udikteta wa Nyerere (n@#$%r, please!), udini (come on!) and all the above mentioned reasons ndio sababu mikoa hiyo ni masikini na ni sababu ya kuikumbatia CCM. Ni kwa sababu ya many factors zinazosababisha mikoa hiyo iwe maskini.

Phew.....my two cents!!!
 
Nadhani umeisahau Kigoma ambako baada ya kuonja ukombozi katika Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa Bw. Zitto wamezinduka na wanakusudia kufanya kweli mwaka huu. Habu tusubiri, tuone.
Tabora, Ruvuma, Lindi, Mtwara Rukwa na Morogoro amkeni chagueni mabadiliko....... mpo wa nyumbani????????????????
 
Mikoa ya kusini ilikandamizwa kielimu, kibiashara yote kwa sababu ya CHUKI binafsi ya Nyerere kwa Waislamu. Mikoa ya kusini ina Waislamu wengi kitu kilichomfanya Nyerere kuwabagua. Sasa hivi mikoa ya kusini inaanza kuendelea kwa sababu Dictactor Nyerere hayupo madarakani.

Mawazo mgando hayo!!

Nyerere kajiondokea 1985, miaka 25 iliyopita halafu bado leo unamsingizia!! Baada ya JKN alikuja Mwinyi, mwisilamu mbona hakuwasaidia. Then Mkapa wa hukohuko bado hakuwasaidia. Mkwere naye huko ndiyo ukweni sasa mnalia nini?? Acha visingizio. Watanzania mwaka huu HAWADANGANYIKIIIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Over the years Dar and Mwanza have been solidly voting for CCM. Is Dar one of the poor regions? Mwanza?
I think you miss the point!
You can not deny the genuine love that the majority of Tanzanians have had on CCM.

Yes!! not anymore. The love they had is now the thing of the past...............The earlier you understand this the better. They now love Slaa, period!!! Anyway, seeing is believing!!! You shall see this on the 31st of October!!!
 
Simply they are prone to indoctrination because they were strategically made ignorant
 
We angalia tu ,mgombea wa jimbo la uchaguzi la Iramba Magharibi, Bw. Mwigulu anayefanya kazi BOT-Arusha, inasemekana jina hilo siyo lake bali lilikuwa la kijana mmoja wa kisukuma aliyepasi mtihani lakini hakwenda secondary na badala yake huyu bwana ambaye jina lake halisi ni MATELU alichukua nafasi hiyo-na alikuwa amefeli! Tangu hapo amelitumia mpaka vyuoni.
Kwa kuwa upinzani ni dhaifu huko, jambo hili linatatuliwa kimya kimya kwa ''kuvuja makundi'' ndani ya CCM.
 
Una uwalakini sana uchambuzi wako, mbona DAR na MWANZA wameikumbatia ccm. Mbona hujataja kigoma ambayo ni kiongozi mzuri wa kuweka wapinzani? Mhhh uchambuzi huu unauwalakini.
 
Jamani wadau nijibuni. Tukisema ccm ndio chanzo cha dhiki watu wanapinga. Tazama mikoa ya singida, Lindi mtwara na Tabora ambayo ndio ngome ya ccm ni ufukara kwa kwenda mbele. CCM imewasaidia nini? Niambieni jamani kwa nini hawa ndio wako maskini kuliko mikoa mingine?

maelezo haya si sahihi, ngome ya CCM ni kuanzia dar ndiyo maana mpaka leo hii hakuna mbunge wa upinzani. Mrema alijaribu kidogo akachemsha. wapi morogoro?
chanzo cha dhiki si chama kuna factors nyingi.
hata hili suala la kuwa katika miaka mitano nyumba zitakuwa za bati ni sawa lakini labda serikali ijenge yenyewe. kuna baadhi wananchi ambao utakuta wameridhika na hali halisi waliyonayo hawataki kujishughulisha.
 
Back
Top Bottom