Kwa nini mikoa ambayo watu wake ni maskini sana ndio washabiki wakubwa wa ccm?.

Sengeon

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
529
0
Nimefanya utafiti wa kina nikagundua kuwa ile mikoa ambayo watu wake ni maskini ndio wapenzi na washabiki wa ccm. Kwa mfano Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga, Mtwara, singida na zingine kama hizo. Lakini angalia Mikoa inayoisapoti Upinzani kama Arusha, Mbeya, Mwanza, Dar es salam na Kigoma watu wake walivyokuwa vizuri kielimu na kiuchumi. Sasa hebu tujiulize ni kwa nini hawa watu wa mikoa iliyoko chini kiuchumi wanaishabikia ccm wakati majimbo yao ndio yako mwisho kwa maendeleo?. Na hawa watu ni juhudi gani itumike kuwakomboa kutoka kwa makoloni ccm?.
 
kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
589
0
Ungekua bar leo ungekunywa bia zangu nyingi wewe. maana umelrta mada iliyoganyiwa utafiti wa kina
Wewe unafundisha chuo gani ?
 
kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
589
0
kuna mikoa ambayo haina hata mbunge mmoja ktk upinzani na kweli maendeleo yao.mfano pwani baadhi ya wabunge wake wanaibiwa kila kitu gesti. Tabora huku kuna kina Kapuya. Tanga. hawa wameamua kuchague std seven failure.Ruvuma ina wabunge wataalam wa kuuchapa usingizi bungeni. Dodoma.........
 
DREAMBOY

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,968
2,000
Umaskin so hoja,n kwel kwny suala elimu kwa kiasi fulan,mf.tabora naskia ndo mkoa unaoongoza kwa shule kanda ya za a-level kanda magarib lkn nenda uulze n wanyamwez wangap wanaosoma hapo kama wenyej,ingawa ni weak point maana utajiulza na bk vp?2:khs kgm na moro kwanza naskia n mikoa inayofanana kiuoto,watu wakgm umaskn wao ulsabbshwa kwa mujbu mdau mmoja hapa tamisemi kgm ilikua mkoa wa tatu kmaendeleo 1954,tatzo waha hawarudi kwao,maanake nilienda kyela nkawakuta,hawa wapo kwny yale makabila matatu bngwa kwa,kusaka pesa 1:wachaga 2:wakinga 3:waha, Morogoro knachowasaidia n ukarib na dsm ambapo hata mazao yao ni rahs kuyauza na kwa bei nzuri,plz kama ntakua nmemboa mtu,npo dodoma karibun
 
High Vampire

JF-Expert Member
Nov 17, 2012
2,138
2,000
Tupe sample ulizofanyia hii kazi
nani alithibitisha hii research yako
hiiiiiii ni pumba kaje kivingine tena
 
Abramovic

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
300
1,000
Nimefanya utafiti wa kina nikagundua kuwa ile mikoa ambayo watu wake ni maskini ndio wapenzi na washabiki wa ccm. Kwa mfano Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga, Mtwara, singida na zingine kama hizo. Lakini angalia Mikoa inayoisapoti Upinzani kama Arusha, Mbeya, Mwanza, Dar es salam na Kigoma watu wake walivyokuwa vizuri kielimu na kiuchumi. Sasa hebu tujiulize ni kwa nini hawa watu wa mikoa iliyoko chini kiuchumi wanaishabikia ccm wakati majimbo yao ndio yako mwisho kwa maendeleo?. Na hawa watu ni juhudi gani itumike kuwakomboa kutoka kwa makoloni ccm?.

we unaijua Mwanza au unaongea tu ili wakusifu? Unajua Mkoa wa Mwanza una majimbo mangap na hao chadema wamechukua mangap?...au unadhan Nyamagana na Ilemela ndo umemaliza mkoa wa Mwanza? Kwa kifupi kanda ya Ziwa upinzani hauna nguvu, hata huyo Wenje mmbunge wa Nyamagana ana hali ngumu sasahivi na cjui km atatetea jimbo lake!
 
log10

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
380
250
kuna mikoa ambayo haina hata mbunge mmoja ktk upinzani na kweli maendeleo yao.mfano pwani baadhi ya wabunge wake wanaibiwa kila kitu gesti. Tabora huku kuna kina Kapuya. Tanga. hawa wameamua kuchague std seven failure.Ruvuma ina wabunge wataalam wa kuuchapa usingizi bungeni. Dodoma.........

ha ha ha wenye wabunge wetu tumemind mkuu
 
simbilisi

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
792
0
ni mahaba ya kisiasa hayo ni sawa kabisa na watu kumnanga zitto huku mnaambiwa mbowe ni fisadi, anajichotea hela na manunuzi anafanye yeye.....................
 
Mauza uza

JF-Expert Member
Jul 24, 2008
2,099
2,000
Sisi kwetu mbeya mujini., mbunge wetu ni mwana bongo flava aka mzee wa antivirus aka sugu = maendeleo ni zero!!!
 
matimbanyula

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
259
225
Hiv mkoa wa morogoro na manyala upi upo juu kiuchumi na unaweza kutoa kasi ya uchumi huo maana mbeya ina uchumi mzuri toka zamani na utafiti wako umejaa siasa na sasa rudi na lingine hili limebuma
 
Tembele

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
1,143
1,500
Wanapewa Tshirt na kanga za CCM.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Lai Otieno

JF-Expert Member
Aug 13, 2013
311
0
kuna mikoa ambayo haina hata mbunge mmoja ktk upinzani na kweli maendeleo yao.mfano pwani baadhi ya wabunge wake wanaibiwa kila kitu gesti. Tabora huku kuna kina Kapuya. Tanga. hawa wameamua kuchague std seven failure.Ruvuma ina wabunge wataalam wa kuuchapa usingizi bungeni. Dodoma.........

hahahaha watoaji matusi mbungeni pia ndio hao hao.
 
ChaterMaster

JF-Expert Member
Aug 17, 2009
1,515
2,000
Dar ina wabunge wa wili tu. Halafu kigoma na moro upi ni mkoa tajiri?

Acha uzombe ww...
Fuatilia hii kwa makini
Tunaanza kuigawanya DSM kimajimbo
-KAWE(Wanapoishi first class ya Dsm, ikihysisha Masaki,Oystaby, Mikocheni, Mbez Beach, Bunju ,Mwenge ,Mbweni, n.k malzia mwenyew) ni CDM
-UBUNGO(Wanapoish sec. class ya Dsm, ikihusisha Sinza, Ubungo,Mbezi yoote ya Kimara mpaka kibamba, n.k malzia mwenyew) ni CDM
-TABATA SEGEREA(Wanapoishi third class ya Dsm ) ni CDM. (Usibabaiahwe na mbunge wa ccm alyepo huyo amechakachua uktaka kujua hilo nenda kawaulize wakazi wa huko nan walimchagua utapewa majibu.
-TEMEKE, KIGAMBONI, ILALA ( Wanapoishi poor/last class ya Dsm ndo upo na ww Mbagala,Temeke, Bugurun, Gongo la Mboto, Chanika , yombodovya n.k malzia mwenyew) ni CCM

SASA PIMA HIYO SAFU HAFU UONGEE TENA BLABLA ZAKO.
 
East African Eagle

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
3,761
1,195
Lakini angalia Mikoa inayoisapoti Upinzani kama Arusha, Mbeya, Mwanza, Dar es salam na Kigoma watu wake walivyokuwa vizuri kielimu na kiuchumi.

Mikoa uliyotaja ni ya mipakani mwa nchi.Ina wahamiaji haramu wengi.Hata kama ni watanzania mioyo yao na roho zao ziko na zinatamani nchi jirani wanazopakana nazo kuliko nchi ya Tanzania.Miili yao iko Tanzania lakini roho zao ziko nchi hizo wanazopakana nazo.Umesahau na pemba miili yao iko pemba roho zao ziko uarabuni.Uchaguzi ukija CCM hawaitaki.

Watanzania halisi wanapatikana katikati ya nchi.Hao wengine mmmmm!!!!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom